Ibrahim Lipumba aendelea na Ziara zake

Ibrahim Lipumba aendelea na Ziara zake

Ghulaam

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
1,862
Reaction score
1,471
1476246251842.jpg

Ni jambo jema kutambua kwa mwanasiasa muda gani ataihudumu siasa na muda gani atapaswa kuishi nje ya maisha ya kisiasa

Mwalim Ibrahim lipumba ameshindwa kung'amua......akiendelea na ziara zake
 
Lipumba naona anaungwa mkono haswa sasa kazi kwake Katibu Mkuu wa Milele wa CUF Zanzibar Maalim Seif kuimarisha Chama cha CUF Zanzibar.
 
Mhnnn...ama kweli binadamu tuko tofauti. wanachofanya wafadhiri wake ni uchonganishi na unafiki wa kisiasa wa hali ya juu sana.
 
Mwisho wa ubaya ni aibu, tunakoelekea Bwana yule ataaibika vibaya sana.
 
Hao walioudhuria wangekua cuf kweli,baragashia zingekua nyingi sana umo ndani,uchache wa baragashia unadhihirisha kwamba walioudhuria wengi ni ccm.
 
Viva pr lipumba waache chadema waendelee kudema dema lipumba pasua anga kelele za mpangaji hazimzuii mwenye nyumba kulala
 
Vijana wa CCM mnatumika vibaya na ni dhambi kwa nyote mtumikao vibaya kama Propesa Pumba,inabidi Haki za binadamu waingilie kati dhidi ya harrassment hizi kwa hawa watu.
Very miss used.
 
Mshitueni!!! Anamaliza viela vyoote alivyopewa kwa mission hiyo kisha anachalala na thamani yake kwisha kabisa!!!
 
Huyu anawafuasi
Nyie Vibendera wa CDM Cuf haina Mungu mtu
Kama CDM

Fanya yako lipumba
Wachana na hawa wavuta bangi

CUF inanganganiwa huku na huku, sasa kwa hz nguvu mbili zinazoivuta CUF kama haitapusuka katikati mwaka huu sijui.

Vyovyote iwavyo pesa ina nguvu lakini haiwezi kuushinda moyo. Mioyo ya wengi najua inapenda upinzani wa kweli na nina imani kuna siku pesa itajitenga na ukweli na CUF salama inabakia.

Ni sawa na kuoa mwanamke kwa sababu kapenda hela yako, ila kumbe kuna jamaa yake wa ukweli anampenda, hata ufanyeje atachepuka tu kuridhisha moyo wake..

Nawashauri CUF warudi njia kuu,, mchepuko siyo deal😎😎
 
Prof Lipumba labda anafanya utafiti lakini pale anapo jihusisha na kufungua account mpya ya CUF hapo nimemuwekea alama ya ? Watanzania wengi tunaopenda kufuatilia siasa za Tanzania tuna mshangaa sana msomi huyu ambaye hatunzi kauli zake hivi hao wanao muunga mkono ni kwa lipi (Prof Limpumba does not keep his words as a public figure)
 
Back
Top Bottom