Ninja after Ninja wanafeli daily noma sana Mungu amrudishie afya yake,yeap Bou Nako ni drugs free yule jamaa ni ngumu kuamini hata mmea hapandishi jamaa yuko clean mby.
Inaonekana haya madawa mpaka yaanze kuleta madhara inachukua mda mrefu kidogo,maana hawa majamaa wameanza siku nyingi,ila wapo madogo wa bongo fleva walioanza miaka ya juzi bado wako freshi tu mbona