K kimyazo Member Joined Dec 2, 2012 Posts 19 Reaction score 4 Apr 9, 2013 #1 hivi yuko wapi ibra da hustla wa nako 2 nako soldiers?, kakimya sana na mwenzake lord eyes
Pukudu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 3,157 Reaction score 2,268 Apr 9, 2013 #2 kawa mteja kwisha habari yake tamasha la hip hop lilioandaliwa na MJ radio Arusha mwishon mwa mwaka 2012 alikuwepo ila cocktail imemmaliza huyo ashapotea kwenye ramani ya muziki
kawa mteja kwisha habari yake tamasha la hip hop lilioandaliwa na MJ radio Arusha mwishon mwa mwaka 2012 alikuwepo ila cocktail imemmaliza huyo ashapotea kwenye ramani ya muziki
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 Apr 9, 2013 #3 ibra da hustler! easy yupupo clean tuo mbona anatoa ngoma ila sema ibra pona ndo zinamharibu. g warara y
ibra da hustler! easy yupupo clean tuo mbona anatoa ngoma ila sema ibra pona ndo zinamharibu. g warara y
Rural Swagga JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,643 Reaction score 1,175 Apr 10, 2013 #4 BINAMU YAKO said: ibra da hustler! easy yupupo clean tuo mbona anatoa ngoma ila sema ibra pona ndo zinamharibu. g warara y Click to expand... Mmmmmh!! Mbona nahisi kama wewe ndio umemix Bange na Kiroba Original??!! Hujaeleweka ulichokiandika
BINAMU YAKO said: ibra da hustler! easy yupupo clean tuo mbona anatoa ngoma ila sema ibra pona ndo zinamharibu. g warara y Click to expand... Mmmmmh!! Mbona nahisi kama wewe ndio umemix Bange na Kiroba Original??!! Hujaeleweka ulichokiandika
N nyabaheta JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 247 Reaction score 82 Apr 10, 2013 #5 BINAMU YAKO said: ibra da hustler! easy yupupo clean tuo mbona anatoa ngoma ila sema ibra pona ndo zinamharibu. g warara y Click to expand... Yupo clean halafu pona ndo zinamharibu tena!mabwaku!
BINAMU YAKO said: ibra da hustler! easy yupupo clean tuo mbona anatoa ngoma ila sema ibra pona ndo zinamharibu. g warara y Click to expand... Yupo clean halafu pona ndo zinamharibu tena!mabwaku!
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 May 29, 2013 #6 huyu tushampoteza kitambo