Ibenge alikuja Azam kujiharibia CV yake

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,782
Reaction score
39,456
Ibenge ni Coach wa hadhi ya juu barani Africa alifanya makubwa akiwa na As Vita akaenda Al Hilal akacheza semi final ya CAFCL

Kwa CV ya Ibenge haikufaa kuja kufundisha Azam

Leo yupo Azam kujimaliza, timu haina uelekeo
Leo Azam wamenikera mno

Naheshimu maamzi yake labda alifata fedha
 
Hiyo haiondoi kwamba Azam ni mbovu. Himid anapiga buti ndicho ibenge alichomtuma? Azam alianza kwa kasi kipindi cha pili akakata upepo. Libasse Gueye unaionaje hii mashine ya Kijerumani
 
Ancelotti asingefundisha everton, Mourinho asingefundisha Fernabahce,
 
Achana kwanza na CV, huu ndo uwezo wake. Kila kocha ni mzuri au mbaya kutegemea na nyenzo alizonazo.
Ibenge ukimpa timu ya Geita anaishusha kabisa.
 
Pesa na uwekezaji wa klabu ndiyo vilimvutia bila shaka. Ila kama angewaza kuhusu makombe, timu zenye ushawishi ni mbili tu; Yanga Baba lao, na mbumbumbu fc kwa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…