Ibara ya 46(3): Jakaya Kikwete anaweza kushitakiwa vizuri tu

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
29,117
2,000
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF baadhi ya wachangiaji wakimdhihaki Tundu Lissu kwamba anachemka kusema Kikwete ahojiwe. Wapingaji hawa wanashangaa uanasheria wa Tundu Lissu kwamba iweje hajui kama Kikwete ana kinga. Tundu Lissu. Wabongo wavivu kusoma, naomba niweke Ibara ya 46 na Ibara ndogo zake tujadili namna ya kumdaka Jakaya Kikwete

46.-(1) During the President’s tenure of office in accordance with this
Constitution it shall be prohibited to institute or continue in court any criminal proceedings whatsoever against him.
(2) During the President’s tenure of office in accordance this Constitution, no civil proceedings against him shall be instituted in court in respect of anything done or not done, or purporting to have been done or not done, by him in his personal capacity as an ordinary citizen whether before or after he assumed the office of President, unless at least thirty days before the proceedings are instituted in court, notice of claim in writing has been delivered to him or sent to him pursuant to the procedure prescribed by an Act of Parliament, stating the nature of such proceedings, the cause of action, the name, residential address of the claimant and the relief which he claims.
(3) Except where he ceases to hold the office of President pursuant to the provisions of Article 46A(10) it shall be prohibited to institute in court criminal or civil proceedings whatsoever against a person who was holding the office of President after he ceases to hold such office for anything he did in his capacity as President while he held the office of President in accordance with this Constitution.

UFAFANUZI
Ibara hii inazungumzia Kinga anayopewa Rais. Ibara ya 46 ibara ndogo ya 3, inasisitiza hatashitakiwa kwa makosa aliyofanya katika kipindi akiwa Rais na si vinginevyo. Hivyo Kikwete anaweza kudakwa kwenye makosa aliyofanya akiwa Waziri wa Nishati na Madini.

NYONGEZA
Kwa hiyo hata kwa katiba hii,hata Rais Magufuli akitolewa madarakani 2020 tunaweza kumuundia kamati na kumshitaki kwa makosa ya MV Dar es Salaam na uuzwaji wa nyumba za serikali.

MY TAKE
Nadhani Magufuli hakujua kama wale ''wahuni'' kina Tundu Lissu watamfikisha huku, matokeo yake anaweza kurudi nyuma ikawa kama zile kamati zingine zilizopita. Goooo Magufuli GOOOOO
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
29,117
2,000
Kama mnashindwa kumshitaki Makonda, raisi mtaweza? Jielekezeni kwenye hoja za msingi na si kupiga ramli.
Hoja ya msingi ipi? Kwani maoni ya kamati ni yapi juu ya waliohusika na ufisadi?tunawakumbusha kwamba kuna mna-overlook watu muhimu kwa makusudi, tunajua hamna nia ya dhati ila ni kiki tu
 
Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,714
2,000
Maraisi watubu tu na kutoa ushirikiano hatuhitaji ugomvi bali pesa tu ndio twaitaka irejeshwe
 
kisepi

JF-Expert Member
Jun 9, 2015
1,871
2,000
kwani kuna ubaya wakiomba radhi kwa watanzania tukaanza ukurasa mpya,maana kwa mujibu wa ripoti wanaonekana watu wa ovyo
 
lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,675
2,000
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF baadhi ya wachangiaji wakimdhihaki Tundu Lissu kwamba anachemka kusema Kikwete ahojiwe. Wapingaji hawa wanashangaa uanasheria wa Tundu Lissu kwamba iweje hajui kama Kikwete ana kinga. Tundu Lissu. Wabongo wavivu kusoma, naomba niweke Ibara ya 46 na Ibara ndogo zake tujadili namna ya kumdaka Jakaya Kikwete

46.-(1) During the President’s tenure of office in accordance with this
Constitution it shall be prohibited to institute or continue in court any criminal proceedings whatsoever against him.
(2) During the President’s tenure of office in accordance this Constitution, no civil proceedings against him shall be instituted in court in respect of anything done or not done, or purporting to have been done or not done, by him in his personal capacity as an ordinary citizen whether before or after he assumed the office of President, unless at least thirty days before the proceedings are instituted in court, notice of claim in writing has been delivered to him or sent to him pursuant to the procedure prescribed by an Act of Parliament, stating the nature of such proceedings, the cause of action, the name, residential address of the claimant and the relief which he claims.
(3) Except where he ceases to hold the office of President pursuant to the provisions of Article 46A(10) it shall be prohibited to institute in court criminal or civil proceedings whatsoever against a person who was holding the office of President after he ceases to hold such office for anything he did in his capacity as President while he held the office of President in accordance with this Constitution.

UFAFANUZI
Ibara hii inazungumzia Kinga anayopewa Rais. Ibara ya 46 ibara ndogo ya 3, inasisitiza hatashitakiwa kwa makosa aliyofanya katika kipindi akiwa Rais na si vinginevyo. Hivyo Kikwete anaweza kudakwa kwenye makosa aliyofanya akiwa Waziri wa Nishati na Madini.

NYONGEZA
Kwa hiyo hata kwa katiba hii,hata Rais Magufuli akitolewa madarakani 2020 tunaweza kumuundia kamati na kumshitaki kwa makosa ya MV Dar es Salaam na uuzwaji wa nyumba za serikali.

MY TAKE
Nadhani Magufuli hakujua kama wale ''wahuni'' kina Tundu Lissu watamfikisha huku, matokeo yake anaweza kurudi nyuma ikawa kama zile kamati zingine zilizopita. Goooo Magufuli GOOOOO
Ninadhani Rais amuite Tundu lissu amshauri kisheria kwaajili ya rasilimali za nchi maana viongozi wengine nahisi wanaogopa kumshauri. Kichwa cha Tundu Lisu kukielewa lazima angalau nawewe uwe umefikia nusu .
 
mangatara

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
14,418
2,000
Katika kuparamia hoja za UKAWA watajikuta weshafikishana mahakamani bila kujitambua. We ngoja tu. Waliiparamia ya katiba mpya mwisho wakakosa akidi hadi goli la mkono likatumika kwa kuleta kura za marehem kuokoa jahazi. Acheni kuparamia
 
chuchumeta3

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
237
225
Kama mnashindwa kumshitaki Makonda, raisi mtaweza? Jielekezeni kwenye hoja za msingi na si kupiga ramli.
Ni rais wetu aliyetoa amri sahihi kwa vyombo vya ulinzi na usalama,kufuatilia kuwachukulia hatua ikiwa pamoja na kuwafilisi.wahusika wa mikataba so hapa ni ufanunuzi tu. Swala la kuwakamata au kutokamata ni CCM wenyewe.wawekezaji waliwaita wenyewe walisaini wenyewe tume zote wameunda wenyewe .kutajana wanatajana wenyewe.kushangilia ni wajibu wao kila siku .NDIYOOOOO.
 
Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
13,893
2,000
Nadhani Magufuli hakujua kama wale ''wahuni'' kina Tundu Lissu watamfikisha huku, matokeo yake anaweza kurudi nyuma ikawa kama zile kamati zingine zilizopita. Goooo Magufuli GOOOOO
Jidanganyeni kuwa Kuna kurudi nyuma, kama lengo la Lisu kuvuruga mjadala tu basi amekwama ishu iko wapi kamati imefanya kazi kuanzia Mwaka 1998 mpaka 2017 sasa habari ya 1994 inakujaje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom