Ibara ya 46(3): Jakaya Kikwete anaweza kushitakiwa vizuri tu

Wewe jamaa tangu ulipokua unamtukana Lowasa akiwa CCM uku ukiapa Lowasa hawezi kuamia Chadema. Kwa Sasa ndiye Mnenguaji mkubwa na ukitoa sifa nyingi za kumsafisha Lowasa, huna maana tena.
Kama ungekua mwanangu ninge kubadilisha na gunia la mkaa ili niote moto kwakua huna maana.
Wewe ni msaliti mkubwa wa watanzania, ulistahili upewe adhabu ya juu kabisa wanayo pewa wasaliti vitani.
 
jiongeze kwa kufikiri..
jk. anabaki kama rais mstahafu au waziri wa nishati na madini mstahafu..??...
cheo kikubwa kinameza cheo kdg... hapi kinga ya cheo kikubwa ndio itakayomlinda...
rudi tena kwa tundu lisu..

Sent from my HUAWEI G750-U10 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo JF baadhi ya wachangiaji wakimdhihaki Tundu Lissu kwamba anachemka kusema Kikwete ahojiwe. Wapingaji hawa wanashangaa uanasheria wa Tundu Lissu kwamba iweje hajui kama Kikwete ana kinga. Tundu Lissu. Wabongo wavivu kusoma, naomba niweke Ibara ya 46 na Ibara ndogo zake tujadili namna ya kumdaka Jakaya Kikwete


46.-(1) During the President’s tenure of office in accordance with this
Constitution it shall be prohibited to institute or continue in court any criminal proceedings whatsoever against him.
(2) During the President’s tenure of office in accordance this Constitution, no civil proceedings against him shall be instituted in court in respect of anything done or not done, or purporting to have been done or not done, by him in his personal capacity as an ordinary citizen whether before or after he assumed the office of President, unless at least thirty days before the proceedings are instituted in court, notice of claim in writing has been delivered to him or sent to him pursuant to the procedure prescribed by an Act of Parliament, stating the nature of such proceedings, the cause of action, the name, residential address of the claimant and the relief which he claims.
(3) Except where he ceases to hold the office of President pursuant to the provisions of Article 46A(10) it shall be prohibited to institute in court criminal or civil proceedings whatsoever against a person who was holding the office of President after he ceases to hold such office for anything he did in his capacity as President while he held the office of President in accordance with this Constitution.

UFAFANUZI
Ibara hii inazungumzia Kinga anayopewa Rais. Ibara ya 46 ibara ndogo ya 3, inasisitiza hatashitakiwa kwa makosa aliyofanya katika kipindi akiwa Rais na si vinginevyo. Hivyo Kikwete anaweza kudakwa kwenye makosa aliyofanya akiwa Waziri wa Nishati na Madini.

NYONGEZA
Kwa hiyo hata kwa katiba hii,hata Rais Magufuli akitolewa madarakani 2020 tunaweza kumuundia kamati na kumshitaki kwa makosa ya MV Dar es Salaam na uuzwaji wa nyumba za serikali.

MY TAKE
Nadhani Magufuli hakujua kama wale ''wahuni'' kina Tundu Lissu watamfikisha huku, matokeo yake anaweza kurudi nyuma ikawa kama zile kamati zingine zilizopita. Goooo Magufuli GOOOOO

You are wrong.

Hicho kifungu chekundu kinasema kama mtu alikuwa raisi basi hata akistaafu huwezi kumfungulia shitaka lolote lile mahakamani.

Isome tena "you cannot institute in court criminal or civil proceedings whatsoever ..." Sio kwa makosa aliyoyafanya akiwa raisi tu bali ni kila kitu (ndio maana ya neno "whatsoever")
 
Back
Top Bottom