Kasema sio adui wa kumpenda. Kutoka kwenye context ya kumpenda adui yako as the teachings refer,kwamba mpende adui yako,hapa adui yako ilimaanisha binadamu mwenzako,anastahili upendo wako hata Kama kakukosea. Shetani NI adui na si mwenzetu hastahili upendo wetu.