Ibada ya Freemason

Ni kipi hapo kinachothibitisha kuwa hiyo ni ibada na siyo mkutano (meeting)? Freemason ina matabaka ya rangi? Wote mbona ni weusi?
 
eti na mbona 98% ni blacks tu?

Ni kipi hapo kinachothibitisha kuwa hiyo ni ibada na siyo mkutano (meeting)? Freemason ina matabaka ya rangi? Wote mbona ni weusi?
Jamani, kwani hakuna FM Branch ya Africa?...au haiwezekani wakawa ni wa nchi moja tu ya Africa wakaassemble?...mnauliza vitu gani?
FM inakamilika ikiwa na wazungu?
Angalieni hiyo nembo/skafu waliyovaa shingoni...mtawaelewa!

NA HUO uvaaji wa gloves nyeupe mkononi umeshawahi kuona wapi katika mikutano ya kawaida au tukio lolote?..send-off?..Harusi?...Dhifa ya kitaifa?...Kongamano?...gRADUATION?...Au unadhani hiyo ni BRASS-BAND!! naomba majibu!
 

no more explanation needed...
 

Huyu mama alipohojiwa alisema chanzo ilikuwa ni message kwenye simu ambayo alitumiwa na mfanyabiashara mwenzake wa kiume, mumewe akajua ni hawara yake.
 
jayz wamemphotoshop kabisa , ukiangalia kwa makini utagundua
 

hizo necklaces niza rotary, gloves huvaliwa hata kwenye misiba.
 
kuna watu bado ni blind kuhusu freemason. the thing here is that, upotoshaji huu wa fm unetumiwa pia na baadhi ya vyombo vya habari kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusu the real definition of freemasons. kwa watu walio na fikra ndogo wanahaha kweli kwa vitu visivyo na uhalisia kuhusu fm. understasnd its meaning, genesis and their activities. trusalagainane kuhusu fm na kuwatia hofu watu kwa uelewa hasi.
 
Amefanyia vibaya sana! Sasa hapa ndo kapata faida gani? Halafu na wewe ulipiga picha huyu uoni ka ni unadhalilishaji huyu mama?! Ungekuwa wewe ungependa uwekwe wazi wazi hivi mtandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…