quimby_joey
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 390
- 164
mkuu hata mimi nilipoiona kwa mara ya kwanza sikuamini ukiweza i-zoom utaamini maudhui yakeMh!! Nina wasi wasi na hiyo picha na maudhui uliyoyataja.
eti na mbona 98% ni blacks tu?Mbona ni wanaume tu?Kwa wanawake hawapo mafree mason?
Mbona ni wanaume tu?Kwa wanawake hawapo mafree mason?
eti na mbona 98% ni blacks tu?
Jamani, kwani hakuna FM Branch ya Africa?...au haiwezekani wakawa ni wa nchi moja tu ya Africa wakaassemble?...mnauliza vitu gani?Ni kipi hapo kinachothibitisha kuwa hiyo ni ibada na siyo mkutano (meeting)? Freemason ina matabaka ya rangi? Wote mbona ni weusi?
Jamani, kwani hakuna FM Branch ya Africa?...au haiwezekani wakawa ni wa nchi moja tu ya Africa wakaassemble?...mnauliza vitu gani?
FM inakamilika ikiwa na wazungu?
Angalieni hiyo nembo/skafu waliyovaa shingoni...mtawaelewa!
NA HUO uvaaji wa gloves nyeupe mkononi umeshawahi kuona wapi katika mikutano ya kawaida au tukio lolote?..send-off?..Harusi?...Dhifa ya kitaifa?...Kongamano?...gRADUATION?...Au unadhani hiyo ni BRASS-BAND!! naomba majibu!
View attachment 58331Jay Z wa nne kulia mstari wa pili, akifuatilia kwa makini ibada ya mason