Iangalie hii video kisha jiulize....je ungekuwa wewe.

Dah! Yaani kama ningekuwemo humo kwenye gari hiyo, harufu ya woga wangu wangeisikilizia kwenye suruali tu.

Hao chui watakuwa wamo kwenye orodha ya Makonda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom