Iam looking for a serious boyfriend!

Iam looking for a serious boyfriend!

Nashukuru!naona umepata chance ya kutukana!mimi sina akili mbovu za kujibishana hoja za aina yako!kama ungekuwa smart kichwani usingecomment namna hii!
Mola akuhurumie ww na ubongo wako!

watu ka hao hawafai kuwa humu....... hana akili hyo ,.....kama kila kitu anapata anapokaa, humu kaja kufanya nini
 
Team papuchi

Utawajua tu mbele ya loose ball
 
Hi jf members,

Am tired of being lonely,iam a matured girl aged 20-24,super model,black(chocolate)..nahitaji rafiki wa kiume wa kuwa nae kama mtu wangu wa karibu na kadri uhusiano utakavozidi kukua kama akipenda we will tie da knot.

I am wife material with all qualities of being someone's wife, i have self-respect kuanzia uvaaji wangu hadi tabia yangu na wala sina makuu!

You must be christian,tall,any colour bt wale wenye ushombe siwataki! Age 25-30!

Nb:make sure unajiheshimu na unaheshimu wengine.sitaki uhuni!uwe na elimu yoyote na akili ya maisha .mi elimu yangu chuo!

nahisi umenipata
 
Fanya tutaftane kwa 0752943198 am a Christian, am a teacher am 27 years old now
 
*----*-----*----*----*-----*-----*----*----
Nafunga hii thread!sijampata huyo alie serious na wala sihitaji kutoka jf!!!!
 
I think I'm not late and matter of fact niko qualified na vigezo vyote kabisaa.

Can we seal a deal babe boo!?
 
Hi jf members,

Am tired of being lonely,iam a matured girl aged 20-24,super model,black(chocolate)..nahitaji rafiki wa kiume wa kuwa nae kama mtu wangu wa karibu na kadri uhusiano utakavozidi kukua kama akipenda we will tie da knot.

I am wife material with all qualities of being someone's wife, i have self-respect kuanzia uvaaji wangu hadi tabia yangu na wala sina makuu!

You must be christian,tall,any colour bt wale wenye ushombe siwataki! Age 25-30!

Nb:make sure unajiheshimu na unaheshimu wengine.sitaki uhuni!uwe na elimu yoyote na akili ya maisha .mi elimu yangu chuo!

M 25 yrs..understndn woman heart gentlman...nchek pm..m serious
 
Sifa zote ninazo, halafu na mimi natafuta mchumba wa kuoa so ni kama bahati
 
Jaribu kanisani.

Asante Matola..bt umri wangu bado sana na sihitaji ndoa kwa sasa na ntasubiri maybe tutakutana mtaani or somewhere else kwa mapenzi ya mungu but sio mtandaoni tena na wala sitomtafuta my soulmate bali atanitafuta kama ilivo tamaduni zetu za kitanzania!
 
Last edited by a moderator:

Hujanielewa, sina maana kama wewe age imekwenda nop, ila katika mikusanyiko mbalimbali company za church zina faida kubwa kwanza unakuwa unaingia kwenye urafiki na mcha Mungu ingawa kanisani huwa tunakwenda kuabudu.

Tatizo la mitandaoni watu wengi wanaojiheshimu na wako serious wanakuwa wako commited na watu wao, wengi wanaokutokea humu ni balehe tu zinawasumbuwa ndio maana wadada wengi wanakatishwa tamaa na online friendship.

Lakini hata kitaa si unaweza kuwa na urafiki wa kawaida na mwanaume then baadaye mnachage status? basi hata humu mwendo ni huohuo mdogo mdogo tu pumba na mchele unazitambuwa.
 
Im here to fully provide you with lots of love and cares.You have all my time kama kweli uko na nia tuanze na p.m.Mind you, its strictly mapenzi maswala ya hela ondoa kabisa kichwani cindy mopao
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom