Iam going Public as we a approach to 2014

Hahaha kilichofanana na Big Mike ni hilo nguo ya juu tu maana naye ni mpenzi wa nguo za hivyo.

Halafu kama nakumbuka sijui ni wewe au kadoda mwingine ambaye miaka ya nyuma ashawahi kuweka full pic. [kama sijakosea mpo kadoda wawili hapa JF]

hutupo wawili mkuu.kadoda11 kwa jf ni mmoja tuu.
 
Tosabiso abangise mopepe santu nalikolo naipele
botema nangae nono ya Yezu mwana nzambe
CHISTMASE mobili mobimba naitese didii
moningate na losambo ya nkolo nzambe nalobi ya
bon a'nnee'. Motema nayaya tete nangai. Izamote
na mwana Nzambe ya 2014
 
king japo cjaelewa lugha najua umewatakia wana jf wote salamu za mwaka mpya.nimezipokea kwa niaba yao.
 
Ahhh,utamu unakuja utamu unakata...ai wewee tuonyeshe uso...ndo mana halisi ya ku'go public
 
Ahhh,utamu unakuja utamu unakata...ai wewee tuonyeshe uso...ndo mana halisi ya ku'go public

haya acha nifanye hivyo kwa ajili yako tuu.ila usimwambie mtu.
 
hutupo wawili mkuu.kadoda11 kwa jf ni mmoja tuu.

Basi nitakuwa nimemix madesa...bila shaka weye ni yule kadoda tulikuwa tunashea sana xperiences za photoshop kule tech & sci
 
Basi nitakuwa nimemix madesa...bila shaka weye ni yule kadoda tulikuwa tunashea sana xperiences za photoshop kule tech & sci

yap yap,kuna time nilikuwa nashinda sana TGS.hivi karibuni nikatekwa na jukwaa la siasa.mwakani narejea zangu TGS.MMU huwa napita tu kupoza akili sio mkazi wa kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…