I wont cheat ever again!!!

I wont cheat ever again!!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,657
Reaction score
37,825
Kobe Bryant to Vanessa I Won't Cheat Ever Again!!!
0217-kobe-vanessa-bryant-tmz-ex.jpg

Goodnyt for cheaters
 
Teeeheeteee gudnyt too mpwa
sorry mlikuwa kwenye list anfochunaaaaaaaaaaateeeeeeeeeeeellllllyyyyyyy nawakumbuka
hope mmeacha kabisaaaaa
 
Nimejiuliza wanaume wengi wepesi sana kuomba msamaha kuliko wanaume
nikajiuliza kwa hivi adam angewaahi kuomba msamaha leo hii tungeteseka hivi na hawa mafisadi
nahisi uchafuu huu na mwingineko usingekuwepo basi wanawake muwe mnasikiliza misamaha yetu jamani
 
uchafu.....uchafu....uchafu....hili neno uchafu inaonyesha linatumiwa kuonyesha matendo ambayo mtoa post anakuwa hakubaliani nayo....welll....wellll.....unaloliona kwako ni uchavu could be kwa mwenzio ni poa tu including kuwa na multipartners....depends on society.
 
Je wewe kaka Bishanga kwako cheating ni poa tu?
 
Why Kobe?

Why being programmed to think not of our selves?

If he cheats he makes money or the others. if he does not, he makes money or the others.

What are you making for idolizing him? Just a fool of yourself.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom