I wish nipate demu wa type hii..

I wish nipate demu wa type hii..

FaizaFoxy niache kigogo leo, usini quote kwenye nyuzi za jukwaa la dini.

Leo nafeel mapenz tu, upendo yani.

Upako wa kukupa neno la Mungu tufanye kesho kutwa sawaaa??
 
Mtanisamehe na bla blah blah zangu..
Soma ukifeel my situation.

Unajua katika maisha huwa kuna wakati wa goodluck, yani unaenjoy life poa kabisa, kama ni pesa unakua nayo, kama ni mpenz unakua naye, tena unaye mpenda kabisa,
yani anything you wish kufanya unafanya na mambo yanaenda positive kama ulivotaka, aki hicho kipindi maisha hua inakua tamu sanaa.

Lakini kunastage unakua lonely kabisa watu wa family hawakupi vibe kabisa hata kidogo..
Unataman kuwa na someone wakupenda na yeye..
Lakini niseme kitu, kwa vile najua mim ni right person,
So, ninalo TUMANI.

Mpenz mwana jamaii forum hakuna kitu nzuri katika maisha kama kuwa na tumaini, Naamin Mungu wangu atarudisha ile goodluck yangu na nitasema.. I have a goodluck.

Nitapata mpenz ninaye mtaka..
Mpenz mwana jamii forum.. katika hii dunia hakuna kitu nzurii, kitu tamuu kama mapenz
For sure kwa mimi najua kupenda sana, just why nasema hivi..
Hakuna kitu nzuri napenda kama kupenda, nikimpenda mtu huwa nasikia raha sanaa.

So, niseme type ya manzi na wish kumpata soon, kwa kweli ninalo tumaini.. sana sana..

Kwanza niseme kitu yani huwa kuna wakati unakutana na manzi yani, sehemu tu katika harakati za hapa na pale unakutana na katoto kazur kabisa, katoto kametulama eeh,
Mtoto ako na pozi zuri hatar, ukimcheki lips unasikia tu kuzikula, kumchumu yani.. lakin si manzi yako na hata njia ya kumpata unakosa coz huwezi hata kumtongoza kwani upo kwenye position au muda wa kazi.
Basi unapotezea, lakin naamua kujifariji na kusema soon nitapata kipenda roho, na nitampata kirahis tu.
Nasema yote haya course mim ni wale wanaume najua kupenda sana sana.

kwa mpenz ninae wish kumpata sifa ya kwanza awe na IMANI (akimjua Mungu) kwamba maisha si magumu na anajiamin sana sana, mwanamke mwenye maarifa mengi sana..na anae jua kupenda kama mimi na awe ni manzi ambae hana mambo mengi kichwan hana watu wengi wanao muhitaji na kumuangalia sanaa, ili niweze kupata time ya kutosha ya kuwa nae,
sio manzi unamtafuta kwa simu unakuta alikua anaonge na mjomba, mala kaka yake saa zima, so awe na time na mimi.

kitu cha mwisho kubwa kabisa asiwe manzi mnono sana, wanene watanisamehe napenda manzi kipotabo kabisa ambae haoni shida kwenda Jim yani anapenda mazoezi na nimesema hapo juu awe anajiamini sana.
And she love everything not bad..
Pray
Dance
Sing
Drink
Jokes
Happiness
crying for filling
Very talkative.( Things of wisdom )

So, na wish huyo manzi akuje mapema na ninayo furaha, kwakua najua atakuja tu,

NAFURAHI KWA KUWA NAJUA NINALO TUMAINI.

Nasema tulia, tulia moyo
I believe yupo.
Nimekufananisha na Bongo zozo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom