Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,212
- 80,121
We mvulana una uhakika na ulisemalo?kwa sababu nawe ni demu pia
We mvulana una uhakika na ulisemalo?kwa sababu nawe ni demu pia
lina asili ya Dharau ndani yake.
bwana angu akiniita demu na nikasikia, Tunaachana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!! Pole kwa kuumia mkuu, sijawahi na sitegemei kuitwa hivyo ingawa wavulana wengi wanapenda litumia kwa watu wao.
Utamaduni wao na wetu haupo sawa.
We mbembeleze mpetipeti huwa wanapenda hivyo utakuta kanacheka dimples zinaonekana na meno meupe hapo hanakuwa hajaboeka tena
Amelitumia mtoa mada.Kumbe na wewe unalitumia hilo neno embu nikumbushe hivi lina maana gani tena ?
Sent using Jamii Forums mobile app