I wish Kenyatta could be my President.

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,283
Kimya kimya nimeanza mchakato wa kuomba Uraia wa Kenya, Kenyatta you're the best president ever not only in East Africa, but also in Africa.
Kwa kuanzia nilitanguliza miradi kabisa Kenya, sasa kwangu njia naiona nyeupe.
Ni bora niwe raia wa taifa lenye misingi iliyowazi hata Kama Lina ukabila, kuliko taifa lenye unafiki wa amani huku misingi ya taifa ikiporwa.
 
a very small minded whore, who need this crap in Tz, enda hata Malawi, useless idiot.
 
Shenz taipu mjinga wewe, siyo niende Kenya, tayari nipo Kenya zaidi ya mwaka sasa na biashara zangu zinanawili wakati Tanzania nilianza kufilisika, kaa huko ule kokoto biashara zinakufa
Hatutaki kijua kama upo kenya au la. Kaa huko huko hatukutaki huku
 
Naona huyu anataka aambulie matusi tu. Wengine leo ni siku ya dominika hatutaki kuharibu udhu wetu buree.
frustration ya maisha magumu ya Tanzania inawatesa, kula maharage kila siku na huku unatamani kitimoto au kuku na hupati ni lazima uanze kutukana watu.
Rejea utafiti, kila watanzania wanne, mmoja ni chizi kwa sababu ya ugumu wa maisha.
 
Shenz taipu mjinga wewe, siyo niende Kenya, tayari nipo Kenya zaidi ya mwaka sasa na biashara zangu zinanawili wakati Tanzania nilianza kufilisika, kaa huko ule kokoto biashara zinakufa
kwani ungekaa kimya ungepata hasara gani!!?

eti una mwaka KENYA huoni hata haya kuongea hivo....

chukua za uso kwnz
shubamiiiiiiit
 
Kimya kimya nimeanza mchakato wa kuomba Uraia wa Kenya, Kenyatta you're the best president ever not only in East Africa, but also in Africa.
Kwa kuanzia nilitanguliza miradi kabisa Kenya, sasa kwangu njia naiona nyeupe.
Ni bora niwe raia wa taifa lenye misingi iliyowazi hata Kama Lina ukabila, kuliko taifa lenye unafiki wa amani huku misingi ya taifa ikiporwa.
Karibu sana. Unataka kuwa Mkikuyu au Luo
 
kwani ungekaa kimya ungepata hasara gani!!?

eti una mwaka KENYA huoni hata haya kuongea hivo....

chukua za uso kwnz
shubamiiiiiiit
Mkuu mtu akisema yupo Sehemu flani au nchi flani ni kosa? Hapa tunabadilishana mawazo, jamani ugumu wa maisha utawafanya muwe wehu wote.
 
Kenyatta ni best president katika lipi?
Acheni ku m over hype
East Africa hatuna rais mzuri hata mmoja
 
frustration ya maisha magumu ya Tanzania inawatesa, kula maharage kila siku na huku unatamani kitimoto au kuku na hupati ni lazima uanze kutukana watu.
Rejea utafiti, kila watanzania wanne, mmoja ni chizi kwa sababu ya ugumu wa maisha.

Kwa hiyo vyakula ndo unaona ni issue?? Yaani hapa JF unafikiri kuna watu wana struggle kupata chakula??
Leta hoja nyingine.
 
Mkuu mtu akisema yupo Sehemu flani au nchi flani ni kosa? Hapa tunabadilishana mawazo, jamani ugumu wa maisha utawafanya muwe wehu wote.
upload_2018-3-11_20-22-43.png
 
Hahahahahahaha... jiwe la gizani limekupata, pole kwa kushindia maharage

Kwa heri, hili jukwaa siyo kiwango chako. MAANA huwa hatujadili maharagwe. Nenda kule mnakojadili mambo ya kinyonge halafu mnamlizia pliz hide my id. Ahaaa haaa haaa.
 
Back
Top Bottom