Ndiyo maana inashauriwa muwe marafiki kwanza kabla ya kuamua kuoana, binafsi nimejifunza kitu kimoja, kama ukiwa mko pamoja halafu hamuwezi kutaniania ujue hapo hamna kitu, ...
Tangu ulete ile mada yako ya kupendwa na mwanaume ambaye atakuwa tayari kuhudumia watoto wawili tena wenye Baba tofauti huwa nasoma posts zako kwa tahadhari kubwa.
Post #1 inadhihirisha labda upo deluded sana maana Ke na Me hawana common ground. Jaribu kupotezea cuckoldry pon labda utapata nafuu.

Tena watoto wa single mother unawasomesha English medium kabisa hakuna shida na wewe ukifanikiwa kupata wakwako sawa, usipofanikiwa wale unaowasomesha hawatakutupa.