I wish I had a husband already

Nimecheka mnooo kwa sauti!!! Very interesting!!!
 
nipo hapa njoo unichukue haraka kabla hawajanichukua wenzako
 
tumia law of attraction anza kuamin tayar ushampata anza kushukuru Mungu kwa kupata mume unaemtaka be happy endelea na maisha utashangaa utapata mwanaume mzur in no time
 
Pole sana.Try not to be too picky anza kwanza kuzoea mapungufu yake na kuyamudu utapata hakuna ambae hana mapungufu
 
Life gives you what you deserve and not what you need.
 
Siku katishi Tamaa ili una tafuta mume au una tafuta mtu wa kuuza naye sura?mume au mke achaguliwi kwa kimo chake Bali tabia zake
Utakuta banker hawa
Wenzie wanaolewa nayeye anaona fashion bila kujua akitakacho kwa kina
 
Sijapata aliekidhi vigezo sitaki kuwa na mume ilimradi ni mwanaume I want a husband atakae nitia hamasa ya kufanya nae mapenzi kila ninapomuona au kumfikiria sasa akiwa mfupi siwezi kulowana kabisaaaa
Hoo statement imenihakikishia bila any doubt bado hujakomaa kimtazamo wa ndoa...kumbatia mito mpaka ikiwa slice ndo uje hapa
Point to note: a husband/wife needs more than what you seek of...unatakiwa uwaze for two mana ni mwili mmoja sio uwaze wew pekeyako na madesire yako ya abunuasi...
Mfano wew ukazaa ukanenepa should your husband not look at you kama zamani?
Game la ndoa bado mamaaa we ligi yako kwa sas ni mito FC..pambania huko..
 
aigooo...! it seems you want the gold to follow you not you to follow the gold....yan umesema unataka mwanaume aliyekwenda hewani teh teh teh kumbe unawaona why don't you seduce them if you real want them...i don't think if they all are in relation to other women na kama unasubiri wao wakufuate teh teh teh it'll be too late...you will die with your unprospered dream....let me finish by saying that" a tree never follow you but you follow a tree"
 

Mkuu nadhani bado haujakutana na mtu sahihi wa kukuoa.Ukikutana naye hata awe mfupi utaolewa tuu.


Wengi wa design yako wanashangaa wameolewa na watu wenye tabia ambazo hawakuwahi kudhani kama wangeolewa na waume wenye tabia hizo.
 
Ukiona mwanamke anavi standard vingii vya kishenzii na kipuuzi ...just know that she’s single,lonely,horny and depressed mafii kbsa
 
Nonsense[emoji57]
 
Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwezombiee Nizame mapenzini nipotelee huko... - JamiiForums
 
Huenda hao wafupi ndo Sir God kakupangia, na kila siku atawaleta hao hao hatachoka siku akichoka ndo utatamani hao wafupi halafu bahati mbaya hutawaona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…