Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,528
Ahaahahah. Inaelekea amekuwa single maza kwa ajili ya huyo mwamba wa Jf.Sasa kelele za nn? Unakuja kutest mitambo? Ngoja aje akutongoze yuleyule unayejifanya kudate nae hafu urudi hapa unalialia
Yani unadate na yeye miaka mitatu nothing output. Hujioni kama Galasa.??? Ko miaka 3 imekushinda uneona utafute Express wa dakika 3.We unafikiri Jf imejaa wanawake tu? Au nitoe siri? Nilidate na mtu from Jf for three years and everything was going well with the relationship..this is just a new ID (my interest declared)
Atakuwa na msongo w Mawazo akifikiri jamaa alivyompiga sound akaingia mkenge na leo jamaa ameshazalisha na yuko mbali nae hata habari ya ndoa haisikiiAhaahahah. Inaelekea amekuwa single maza kwa ajili ya huyo mwamba wa Jf.
Nonsense againYani unadate na yeye miaka mitatu nothing output. Hujioni kama Galasa.??? Ko miaka 3 imekushinda uneona utafute Express wa dakika 3.
Nafuu uendelee kulea mwanao
NonsenseAhaahahah. Inaelekea amekuwa single maza kwa ajili ya huyo mwamba wa Jf.
Wanaume warefu wapo PM tunayajenga nyie wafupi endeleeni kutokwa na mapovu hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaahahah. Inaelekea amekuwa single maza kwa ajili ya huyo mwamba wa Jf.
bunch of nonsenseAtakuwa na msongo w Mawazo akifikiri jamaa alivyompiga sound akaingia mkenge na leo jamaa ameshazalisha na yuko mbali nae hata habari ya ndoa haisikii
Just can't entertain your foolishness.Wanaume warefu wapo PM tunayajenga nyie wafupi endeleeni kutokwa na mapovu hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Atakuwa na msongo w Mawazo akifikiri jamaa alivyompiga sound akaingia mkenge na leo jamaa ameshazalisha na yuko mbali nae hata habari ya ndoa haisikii
You must be 4.3ft bro I can tell that from your commentsMm sio mfupi. I can expose myself for this sakeJust can't entertain your foolishness.
Naendelea kukusisitiza “LEA MWANAO”
See now you can't stop with your nonsense comments[emoji16] [emoji16] [emoji16] be smart at least once broKwa kifupi kama Ka.tiwa na jamaa wa JF ina maana Sisi masela wote wa JF tumepita [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Jamaa si katuwakilisha. Acha tuendeleze harakat
You must be 4.3ft bro I can tell that from your comments
No thanksNjoo nikuwowe ila na mm ni mfupi ila nina ndefu!!!
[emoji4][emoji4]kukiwa na dalili (pm) tujuze tuandae mchango wa harusi[emoji125] [emoji125]How I wish I had a husband jamani nimechoka kuwa mpweke. Usiku kama huu I have no one to cuddle with in bed just holding my pillow imaging it as a man.
Yan wanaume wa kuoa wapo ila kimbembe mpaka umpate atakae kuvutia. Just like me here I get approached with a lot of men but sijaona alienivutia wengi ni wafupi halafu mimi napenda wale walioenda hewani. Sasa jamani na umri huu nikiendelea kuchagua si nitafika 30 sina dalili ya kuolewa oohh God help. At this age I wish I had 2kids and a lovely husband but non has happened no kids no husband.
Dear future hubby popote ulipo nakuita uje kwa jina la Yesu tuanze mipango ya ndoa yetu mwakani muda kama huu niwe na ujauzito wa miezi mitano for our first born.
Dear hubby I promise to love you to hell like no one ever did before, I will care for you, cook for you, take you for a bath in the morning, wash your clothes, pray for you, love your family, help you financially, give you good sex anytime you need etc.
My lovely husband your future wife needs you now she is so tired of sleeping alone.
Nakupenda mume wangu mtarajiwa naamini kabisa utakua hukuhuku Jf umejifucha tu.
Kama amezalishwa,ameshakuwa 'used to maximum'Mm sio mfupi. I can expose myself for this sakeJust can't entertain your foolishness.
Naendelea kukusisitiza “LEA MWANAO”