I will never understand marriage!

I will never understand marriage!

Ubaya hauna kabila,wachaga wanaonewa tu.Ila nafahamu familia nyingi za wanawake wa kichaga zimetulia sana na wake zao wanajitambua.Kwa hiyo tusiwabambikize wachaga ubaya wote
 
Maybe.Namimi Nahisi The Reason Behind This Ni Ilo Suala La Kutaka Kumbadili Kunguru Kuwa Njiwa.


I saw the picture already na ndiyo maana nikasema vile. Vijana wa kilokole wana matatizo when it comes to picking the right woman. Wao wanafikiri kwa kuwa ni mwanmme basi mwanamke atakubali tu, hawajuwi wengine makahaba wanakimbilia makanisani kutafuta wachumba walokole....wanataka kuolewa ili wapate insurance ya kula na kulala huku wakikunwa na wengine. Kijana wa kilokole anabaki kusubiri tu mpaka aoteshwe ndoto ya kupata mtoto ndipo ana mpapasa mkewe, mwanamke gani atavumilia haya? Nyege mfalme jamani.
 
Daah pole sana aisee,ndoa Ni taasisi na pia Ni sakramenti..Ndoa inahitaji mtu mwenye authority, akili nyingi+uzoefu. Kuna wakati vijana maplayers wanakuwa vzr kwa sababu wana uzoefu na hawa viumbe. Mwambie brother ameokoka Ila yeye sio Yesu, apige ibada Ila achanganye na akili za kawaida. Usiombe ifike stage Mwanamke akuone boya/ndezi.
 
Back
Top Bottom