I will never date a lady through the internet

nafikiri huyu ´´Dr´´ akasome kwanza lugha alafu arudi tena na swala lake labda tutaelewa!!

Nakuunga mkono. Naona sio doctor wala nini. Na kama ni doctor kweli kivivyo ndio maana yakamfika hayo.
 
mbona lugha ya malkia haijatulia Dr,I nyiingi hata sisi wa st kayumba we can easily detect your poor grammar .bora ungeandika haka ka lugha ka mwalimu wa butiama
anyway poke Sana Dr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom