I will never date a lady through the internet | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I will never date a lady through the internet

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tina, May 26, 2008.

 1. Tina

  Tina JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2008
  Joined: Jul 9, 2007
  Messages: 571
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  Mwenzetu yamemkuta!
   
 2. N

  Nyerererist JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 443
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na kweli yamemkuta
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...in heaven?...anaota huyu!!!
   
 4. I

  Ipole JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 296
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole Dr lakini umeyataka mwenyewe
   
 5. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2008
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Pole sana Dr. inabidi kuwa makini sana unapodate mtu kwenye internet wengi wao wanakuwa na agenda ya siri.
   
 6. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,278
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  inavyosemekana nimesoma kwenye blogs zingine watu wanasema wanamfahamu fika huyo anayejiita dokta kuwa sio mtz wala nini bali ni mkenya sijui wanasema hata ukimpigia simu kiswahili chake ni cha kikenya na wakasema tujichunge na matapeli kama hao...as wako weeeengi ndo mambo ya internet hayo lakinii
   
 7. kkiwango

  kkiwango Senior Member

  #7
  May 27, 2008
  Joined: Aug 27, 2007
  Messages: 168
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  nafikiri huyu ´´Dr´´ akasome kwanza lugha alafu arudi tena na swala lake labda tutaelewa!!
   
 8. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the problem you have is so psychological; you fear to approach women from direct attack(physical-face to face) you can say that from now on you will not need a woman but deep inside you willl be lusting in your heart when you see a lady.if you want to get a saved lady, they are so many in the churches and they pray day and night for God to give them a right husband. go to church , attend marriage semminars. make proposal to some one.first become yourself saved, dont predge for a saved woman if yourself you are not saved. they are so many and believe me they sometime pray overnight to get a husband and they find not! because most of us want easy things, we rush in the chart room to get for a woman easly or to make cover of our shame(fear of dennial) when we do approach. Real saved people have been tought their own approach of getting a real partner not the way you think. go to church attend various semiars so that they can get be known to you and you known to them..how can it be possible you get attractred to someone with an entire family without rethinking? Ithink first find psychological specialist,.pole sana mzee.God bless and forgive you as no one will curse the name of the Lord and stay alive spritually.
   
 9. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2008
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Naona huyu jamaa (DR) ana matatizo ya akili. Yeye alimuingia huyo Dem ki spiritual, then naye akamjibu kispiritual! Sasa ngoma droo, nilivyoelewa response ya dem ni kuwa anahitaji call from God ndio aweze kuja kumtembelea DR lakini inaonekana Dr analazimisha. Anyways again Dr anaonekan mtupu vile vile hana nyimbo na mikakati ya kuapproach, yaani mpaka atoe details zake zote ndo anadhani kitaeleweka. He was only supposed to provide basic details mambo mengine angesubiri mpaka waonane. Alaaaaaaaaa...
   
 10. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kuna penpal wangu mmoja aliniwarn against hiyo site ya christian dating ... kumejaa matapeli wengi mno ... most from nigeria

  This guy too .. mmhhhh ... ananishangaza ... kisa cha kujichukia na kumkufuru Mungu ni mwanamke wa kizungu .... tu hujakutana nae wala kupoteza mda wala chochote juu yake ... unalia???? ... wengine wanapoteza mali na wanaishia kunawa tu ... analalamaaa weeee ... kweli ana matatizo huyo asaidiwe haraka mno

  kama kweli unataka mzungu nenda beach kule zanzibar utaokota wengi tu wanaowataka waafrika ... na kama unabahati atakuingiza kwenye pochi yake uondoke nae kabisa
   
 11. Kilinzibar

  Kilinzibar Senior Member

  #11
  Jul 29, 2008
  Joined: Mar 6, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  heheheeh inabidi nicheke mana badala ya kufanyakazi aliyosomea yeye ana tafuta wife kweli alikua kwenye search engine sasa akapata!!!!
   
 12. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  FIRST EMAIL
  can take holidays later this year as sson as God provides i will be there….)

  SECOND EMAIL
  i listen to God not man all your emails say is please come or come and help me its not love its begging and ignoring what God would say you are manipulating me to go against God , i dont make decisions for my life God makes them !!!!!!,

  i DONT see no problem here, she is not making decision her self It's GOD who does....so just take it easy and have a grip...DONT YOU READ A BIBLE.
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  mapenzi ya internet nayo yanakuwa ya ki dot.com vile vile! hayachelewi mara siku nyingine file kuwa corrupted, mara server down, mara inabidi u install new software, almuradi kila siku wewe una update new antivirus!

  kaaazi kweli kweli!
   
 14. L

  Lavender Member

  #14
  Aug 8, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe Dr kweli unamajeraha ya kisaikolojia. Mwanamke hujamuona kwa macho yako, wala kuishi pamoja,anakwambia hata watoto wake wamekubali aolewe na wewe!!! Yaani na udaktari wako wote huku weza kutambua kwamba it was never real? Halafu wewe uko Tanzania mwanamke yuko Australia,hata kama ndio long distance relationship,that was too much. I think you needed a reality check,and thats what you got. Women are women,whether white or black.
  And another thing,hivyo vyuo vikuu ulivyosoma viko nchi gani??? Maana a 'Dr' and that is the English you write... I am worried.
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  All In All Spiritual Lady Is Right

  Yeye Aanamsubiri Mungu Na Jamaa Alijionyesha Amepata Kidonda
  Cha Mapenzi Mapema Na Ndio Maana Mwanaamke Akaona Yeye

  Kuliko Afanywe ""spirit"" Ya Kidonda Cha Jamaa Wacha Amuulize Mungu

  Ushauri Wangu

  Awe Na Subira Hata Kama Itachukua Miaaka Kumi Aendelee Kumuuliza Na Yeye Kwa Mungu Yule Ni Wake!!!asikudannganye Mtu Mkiwa Katika Roho Hampishani Ungu Akijibu Hakuna Atakaepinga

  Pole Sana Na Kila La Kheri
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Naomba Kumuuliza Na Miaka Mingapi?????? Msimuhukumu Tu Ajui Kutongoza Au Mwoga Inawezekana Amechukua Muda Mwingi Wa Maisha Yake Kwenye Shule Hayo Ndio Matokeo Mkisoma Kumbukeni Kun A Mambo Ambayo Yana Muda Wake Kama Mmeobservr Ma Lecture Wengi Pale Chuo Kikuu Cha Mlimani Wanakufa Ngoma Sababu Wanaoa Wakiwa Wazee Na Mwisho Unamkuta Prof Anakuja Na Mwanae Jumamosi Unafikiri Mjukuu Wake

  Nenda Mwangalie Mjukuu Wa Prof Ndumbaro Wa Engineering

  Uliza Wajukuu Wa Prof Lema

  Wajukuu Wa Prof Mutashobya

  Hawa Si Kwamba Walipenda Ndugu Matatizo Ya Familizao Zosi Deis Ziliwafanya Waamini Maisha Ni Shule Tu Na Si Wattoto Wala Kuoa

  Kwa Hiyo Wamekuwa Wakioa Ukubwani Na Mwisho Wakitaka Vingast Wanakimbilia Ma Bar Med!!!!ukikuta Wajanja Wanawabana Totos Kwenye

  Supplimentary Zina Mamboa

  Pole Ndugu Yangu Mkimbilie Yesu Ndie Njia Pekee Ya Matatizo Yako Si Binadamu Tu!!1
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,707
  Trophy Points: 280
  Mathayo 7:7

  Kila Aombae Hupewa Atafutaye Uona Aishaye Hufunguliwa Kama Mkristo Haki Yako Kumuuliza Mungu Kwa Nini Hivi Nikupe Tu Kisa Kilichonitokea Mimi
  Ila Ukiamini Kwa Mungu Kila Jaribu Lina Mlango Wa Kutokea Unaweza Kufanikiwa

  Nimezaliwa 1979 Mtoto Wa Pili Kwenye Familia'

  2004 Nilitokea Kupenda Na Dada Mmoja Wa Kihehe Mungu Akasaidia Mwaka 2005

  Tukaoana Akaniomba Aende Kusoma Nje Nkamwambia Aiwezekani Akanishauri Sana Niache Kazi Twende Tukasome!!1nilimuuliza Mungu Kaama Anapenda Hili
  Mwisho Nilipata Ujasiri Kumwambia Natumaini Mungu Atanipa Sehemu Nyingine Ya Kusoma!!!napenda Kukwambia Nilikaa Miei 5 Tu Niliacha Kila Kitu Cha Maisha Yangu Pale Kunduchi

  Mwezi Ulipopita Wa Ndoa Yetubinti Alianza Visa Sijapata Kuona Nkamuuliza Mungu Ni Mapeni Yako Kuishi Maisha Haya Ikachukua Muda Kupatajibu Huku Nikiendelea Kuumia Binti Hakuwahi Kunywa Pombe Akanza Kurudi Hoi,,akuwahi Kuvuta Sigara Akaanza Kuvuta Sigara ,,nilimlilia Mungu Sana Sana Sana

  Tukaitwa Na Familia Zoote Mara 10 Ndani Ya Miezi 5..hakuna Matokeo Yoyote Ndugu Yangu...aliponishosha Ni Pale Nikiwa Kaizni Napigiwa Na Watu Mkeo Anasafiri Anakwendanje Mbona Atukuoni???

  Kaka Yangu Nilipofika Nyumbani Sikukuta Hata Barua Ya Kusema Naelekea Wapi

  Nkafungua Mlango Nikamlilia Mungu Niiliposhtuka Ilikuw Saa Saba Ndipo Nkaamini Mke Amesafiri.....usikate Tamaa Aliporudi Akalia Sana Na Kuomba Msamaha Sana Mwisho Nkataka Kuondoka Nyumbani Sikuona Solution
  Baada Ya Muda Niliendelea Kumwambia Mungu Ajidhihirishe Aikuchukua Mwezi Akasafiiri Tena Hakika Nilimlilia Mungu Mungu Alijibu!!!alisema Usifanye Chochote Kibaya Atakapokuja Chukua Suruali Yako Na Shati Nenda Kwenu!!!

  Hii Unawezafikiri Ni Hadithi Alikaa Nje Miezi 2 Aliporudi Sikujua Siku Akardi Usiku Ndipo Kesho Yake Nikaomba Famili Zote Wakaja Nikawaeleza Baadhi Ya Wazazi Wake Wakasema Si Tumechoka Imebaki Akili Yako Mwenyewe

  Ndugu Yangu Niliomba Kuondoka Akalia Sana Lakini Usishindane Na Sauti Ya Mungu ...niliondoka Saasita Usiku Baada Ya Kungangania Begi Langu La Nguo!!!
  Niliacha Kila Kitu Ndugu Zyangu Tukiwa Bfriedn Na Gfriend Tulipata Kuwa Na Magari Yetu 3 Tukauza Moja Yakabaki 2.....

  Baya Zaidi Kuna Rafiki Yake Baada Ya Maombi Alikuja Kunifwata Na Kuniambia
  Mkeo Antaka Kukutumia Na Mwanaume Nje Ndie Anaemsumbua Na Hata Kuoana Alitaka Kuonekana...sikukata Tamaa As Long Nilishajibiwa Na Mungu!!nikamwomba Mungu Anipe Anenifaa Anaenipenda....

  Ndugu Now Am In Heaven!!!namwomba Mungu Atusaidie1!!kweli Baada Ya Kuachana Jamaa Yake Aktoka Sweden Akaja Akijua Anakuja Kuoa !!!wakakaa We Na Kutangaza Kila Sehemu...muda Si Mrefu Yule Kaka Akakimbia Na Hapo Ni Baada Ya Kuvishwa Pete Ya Uchumba

  Ushauri Wangu Usisikie Sauti Za Binadamu Msiikilize Mungu Kwanza

  Namshukuru Mungu Nimepanga Nina Vitu Vyotenilivyoviacha Nina Magari Si Gari!!!hayo Ni Moja Ya Kukumbusha Uskumbuke Ulipotoka Ndugu Yangu!!!

  Mungu Akutie Nguvu Bwana Harusi Mtarajiwa Na Mi Ntakuombea Kwa Hili

  Kumbuka Hakuna Linaloshindikana Kwa Mungu
   
 18. B

  BobMarley Member

  #18
  Sep 2, 2008
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DR pole sana sasa hivi matapeli ni kila kona internet siyo internet wapo.unaweza ukakutana na mtu thru a friend still akakufanyia hivyo hivyo.sasa hivi nikuomba tu mtu unayekutana naye
   
 19. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2008
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Sijaona tatizo hapo kabisa. Hatutafuti mke au mume kwa staili hiyo. Pia naomba akae chini ajichunguze kitabia yuko fit? Kwa nini pia mwanamke wa kwanza or girlfried hawakudumu? Pengine naye kwa upande wake anahitaji msaada wa mawazo. Siamini kama ameokoka kikwelikweli au ni kama wale Wanaigeria, Waganda na Wakenya Wasanii. Waogope hao. Aende kwa mtu wa Saikolojia atamsaidia. Ila nina wasiwasi aliyeandika hapa ni Mkenya au non-Tz but African ambaye naye kuna jambo lake. Watch out wana JF usipoteze muda kumpigia huyu.
   
 20. B

  Bilekumpasi Member

  #20
  Sep 2, 2008
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inawezekana mzushi huyo, internet date kaishupalia tena na kumwamini mtu ambaye yupo mbali kabisa.

  usirudie tena ila kama hujakoma try again.

  Kiingereza chako ni cha ajabu sana..
   
Loading...