I will miss Jamii Forum


bon voyage bro
 
Baba Enock na wewe bana unaenda kwa 'retreat' parokiani na bilauri ya beer au ndiyo damu ya yesu madai yenu. Mungu wa rehema na hekima akutangulie na akulinde hata tuonane tena mtandaoni. Noeli Njema na Heri ya Mwaka Mpya.
 
I am missing Mama Enock!

hahahaha lol Rev umeanza uchokozi??

Vipi maandalizi ya siku ya kuzaliwa Bwana Wetu yanaendeleaje???
maana nahisi sasa utakuwa busy sana na mambo ya kanisa ..
au vipi??
 
hahahaha lol Rev umeanza uchokozi??

Vipi maandalizi ya siku ya kuzaliwa Bwana Wetu yanaendeleaje???
maana nahisi sasa utakuwa busy sana na mambo ya kanisa ..
au vipi??

Yaani wewe acha kabisa mikrismas tree imapanda bei sana! nimeshauri wanunue tarehe 26 bei itakuwa sawa na bure
 
Yaani wewe acha kabisa mikrismas tree imapanda bei sana! nimeshauri wanunue tarehe 26 bei itakuwa sawa na bure

hahahahahahhaahha lol REv wewe
unajua kunichekesha sina mbavu lol..

sasa hahahhah
we ndo Rev halafu unashauri kanisa lipabwe tarehe 26 na x-mass ni tarehe 25 hivi kweli hii inaendana ..
na zile sadaka waumni wanatoaga ziko wapi hahahahah lol

haki la walakhi umenichekesha sana..lol
 
uzuri huku juu kwetu jf ni 24/7...kila la heri baba-e, st. rr bado nipo nipo sana.
 
have a safe journey baba enock,,,, but dont 4gert meeeeee,,,,,,,,, i will miss you so much,,,,,i feel like to b with you there,,,,,,,,may allah bless you.
 
nini tena maria bibie asubuh yote hii wataka pigana naona umeshika kasi,,,, umeamkaje lakin??? sabaha l kheyr???
:wave::wave::hug:

Sijambo swetie mikono leo ipo juu tu haitaki kushuka! (khaif khal!) sijui nimepatia??:whoo:
 
maria rosa wallah hyu mtoto ataka nitia wazimu saa hii asubuhi asubuhi.........hajui mwenzake treni iko mwesho wa reli kigomaaaa

Pole aisee yani nakuona hapo unawaza na kuwazua polee mwayego
 
Obuntu will miss you too ... God Bless You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…