hapa nimesamarize tu dada. Wakwe wanajua na wanamsapoti kijana wao kwa kuoa mke wa pili na walimwambia huyu dada aende akasafishwe nyota alipokataa chuki ikazidi zaidi. Maombi yamemsaidia snCha kumshauri sina hili jambo ni zito. Mtu atarogaje wanawe wa kuzaa? Ila wadada muwe makini mnapoolewa koo nyingine wanga. Kama kweli huyo mwanaume anafanya hayo anayofanya basi ajue alikuwa anaishi na shetani miaka yote. Uchawi upo mshirikisheni Mungu kabla ya kuolewa.Kama ni mkistu awapeleke watoto kwenye maombi. Kama mwananume ana wazazi amshitaki kwa wazazi wake. Au walikutana mjini wazazi hawajuhi? AU wazazi nao wanga?
sio matani hapo kuloga mazeeWATOTO WAKIOMBEWA PEPO WANALIPUKA WANASEMA NA ALIEWATUMA NA REASON.Hapo ndio ninaposhangaa kwa tabia fulani za kibabe ambazo hazina msingi wowote,..mwanamke umeachana nae tena muda mrefu_umepata mwanamke mwingine na kuoa lakn unataka mwenzio asiolewe wala kuwa na mpnz,...huu ni upuuzi , unyanyasaji,ukatili,ubinafsi,ubabe,na ujeuri uliopindukia wa kuthamini furaha na heshima yako bila kujali furaha na heshima ya watu wengine.Kuhusu hilo suala la kuroga watoto...hapo sitii neno kwani siamini sana kama mtu kweli anaweza kuloga watoto tena watoto wake wasio na hatia hata chembe,....ila inawezekana tu kwa mtu mkorofi na jeuri wa aina ya huyu jamaa.Muda mwingine sisi wanaume pengine hatuwatendei sana haki hawa wapenzi wetu......tunawaumiza sana na inatia hasira na uchungu sana kama angekua dada ako sidhani kama akifanyiwa hivyo kama utaridhika,......makosa mengine pengine yanastahili adhabu ya kifo,....nimenuna na kukereheka sana na tabia hii
Hapo ndio ninaposhangaa kwa tabia fulani za kibabe ambazo hazina msingi wowote,..mwanamke umeachana nae tena muda mrefu_umepata mwanamke mwingine na kuoa lakn unataka mwenzio asiolewe wala kuwa na mpnz,...huu ni upuuzi , unyanyasaji,ukatili,ubinafsi,ubabe,na ujeuri uliopindukia wa kuthamini furaha na heshima yako bila kujali furaha na heshima ya watu wengine.
Kuhusu hilo suala la kuroga watoto...hapo sitii neno kwani siamini sana kama mtu kweli anaweza kuloga watoto tena watoto wake wasio na hatia hata chembe,....ila inawezekana tu kwa mtu mkorofi na jeuri wa aina ya huyu jamaa.
Muda mwingine sisi wanaume pengine hatuwatendei sana haki hawa wapenzi wetu......tunawaumiza sana na inatia hasira na uchungu sana kama angekua dada ako sidhani kama akifanyiwa hivyo kama utaridhika,......makosa mengine pengine yanastahili adhabu ya kifo,....nimenuna na kukereheka sana na tabia hii
mkuu hakikisha jambo baya na ovu halitokei kati yao,na Mungu atakuongoza na kukusaidia.sio matani hapo kuloga mazeeWATOTO WAKIOMBEWA PEPO WANALIPUKA WANASEMA NA ALIEWATUMA NA REASON.
Nina rafiki yangu alitengana na mumewe kwa miaka 6 sasa na mwaka jana wamepeana talaka rasmi.Huyu dada ni m2 strong sn kwani alipotelekezwa alijikaza akajisomesha huku anatunza watoto wake na sasa yuko chuo kikuu mwaka wa pili. Kuna ki2 kinamtesa dada huyu yani akipata mwanaume mtalaka wake huwa anaingilia mahusiano hayo ingawa alishaoa mke mwingne. Miaka 2 baada ya mwanaume kumwacha alipata mpenz jamaa alipockia akamvizia yule kaka akampiga sn so dada akamwagwa, mwaka mmoja bdae tena akapata mwingne nae akatishiwa akamwagwa tena, akaona bora apate talaka ndio atakuwa huru, mwaka jana walitalikiana ila mambo ndio yamekuwa mabaya zaidi, yule kaka alimwapia akiwa na m2 mwingne atamuua kwan ye bdo ni mkewe kwan walifunga ndoa kanisani na ndoa ya kanisani haifi. Akamwambia atamtesa hadi amrudie ila kwa vile dada ni strong akamwambia afanye atakavyo bs kaka yule ameanza kuchawia watoto aliokuwa amezaa na yule dada (watoto wanakaa na mama) anawapiga watoto wake majini, wanamsumbua sn huyo dada. Sasa amechoka hana raha tena kwani shule hasomi kwa raha kwani watoto wanaugua ugua (kipepo, wakipelekwa kwa walokole wakiombewa wanapona) akipata mwanaume wanatishiwa wanamuacha, amekuwa mpweke na anakaribia kuchanganyikiwa. Amepanga ki2 kibaya sn na amenishirikisha nikaogopa ndio mana nikaleta hapa jamvini kwani anataka kumrudia mtalaka wake kwa siri then cku moja amtaftie wahuni wamfanyizie. Nimeogopa na kuona madhara ya hlo jambo ila ndio alichoamua. Alisema maneno haya "NILIMPA MOYO WANGU, MAISHA NA WATOTO, SASA ANATUTESA, ANATAKA TUFE, BORA ANITESE MIMI KULIKO WATOTO WANGU, WAMEMKOSEA NINI? I'LL KILL HIM 4 MY KIDS" ushauri wenu plz NITAMSHAURI NINI AACHE WAZO LAKE? Nisaidieni plz
Mie namshauri atimize nia yake. Ubaya hulipwa kwa ubaya