I was in the Illuminati, I’m going to tell you everything, shocking expose

Naona zile msg za waganga wanaotumiaga tuu watu 'mjukuu wanguuu''...etc zimekua updated na kuhamia huku sasa
 
Mbona kama hadithi za alfu hulela
Yah na hazina conmection na siyo well detailed na inaelekea ni story ya muda sana kama mika 5 iliyopita.
Huyu jamaa aliyeahadithia hiki hakuna taarifa yotote ya ndani aliyoandika zaidi ya kutaja taja majina na habari ambazo hata hazi connect, personally ni ngumu kuziamini thou ninaamini illuminate wapo lakini siamini huyo kama alikuwa mmoja wao.
 
Seriously

Anyway wanasema there are circles within circles. Huwezi ukajua vyote hata ukikaa miaka miamoja kwenye cult.Labda iwe cult uchwara.
Familia tunazoishi tu hatujui siri zote japo tunaishi wote for long.
Circles within circles.
Lasivyo tungeshajua mengi.
 
Shutting 'off' the moon?
Jamani acheni mchezo eti,sio rahisi hivyo.Ninacho ona ni kuwa Illuminati wana propaganda zao za kuji 'kuza'! They are over and overating themselves.
Well said walahi
 
Ngoja niendelee kuamini vitu vingine ni vya kusadikika tu
 
Kama sio uongo ina maana hivyo vitu vinatengezwa wapi?
 
Hata kama kuna kupodoa katika uwasilishaji wa information ninaiman uwapo wa hayo mambo cause the world we are living IPO katika usiri mkubwa ambazo wa2 wachache wanatambua UPI ukweli wa yote
 
jiulize kama ni uwongo how smart is it..on creating fiction,..bt guys there a some thngs it's true there..
 
Hizi story mara nyingine zinachosha tu,Hitler nae wanadai hakujinyonga bali alipelekwa Argentina ambako aliishi maisha yake mpaka kifo,Osama nae wanadai yupo hai kahifadhiwa anakula raha tu.
Huku kwetu pia kuna watu wanadai Balali yupo hai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…