Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah na hazina conmection na siyo well detailed na inaelekea ni story ya muda sana kama mika 5 iliyopita.Mbona kama hadithi za alfu hulela
Well said walahiShutting 'off' the moon?
Jamani acheni mchezo eti,sio rahisi hivyo.Ninacho ona ni kuwa Illuminati wana propaganda zao za kuji 'kuza'! They are over and overating themselves.
Into the land of myth and time of magic the destiny die of the great kingdom rest on the shoulders of the young boy his name MERLINInteresting
Hizi story mara nyingine zinachosha tu,Hitler nae wanadai hakujinyonga bali alipelekwa Argentina ambako aliishi maisha yake mpaka kifo,Osama nae wanadai yupo hai kahifadhiwa anakula raha tu.Imekuwa ndefu mno. Ungejaribu kuipunguza ila isipoteza maana.
Jamaa yangu juve2012 sijui yuko wapi. Hii makitu anajua sana kuyaelezea. Kwangu mimi ni story tu. Eti Saddam Hussein hakunyongwa! Kuna mahali chini ya ardhi anahudumu huko! Kama ntakuwa nimeeleaa lakini.