tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,008
- 1,955
I will be back soon
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini mkuu??Hizi stori zinawafaa Madogo wa Form One na Form Two kupotezea muda wakati wanasubiri Kipindi..
Hata mm nimeshangaa kuwa Sadamu hakufa kumbe mkulu yupo sahihi anaposema Gadaffi wa Iraq na sadamu wa Libya tehe tehe tehe Mr President was okay[emoji28]Imekuwa ndefu mno. Ungejaribu kuipunguza ila isipoteza maana.
Jamaa yangu juve2012 sijui yuko wapi. Hii makitu anajua sana kuyaelezea. Kwangu mimi ni story tu. Eti Saddam Hussein hakunyongwa! Kuna mahali chini ya ardhi anahudumu huko! Kama ntakuwa nimeeleaa lakini.
Uongo mtupu, na ni story za kupoteza muda tu. Sababu vinavyozungumziwa ni vitu ambavyo havipo![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanini mkuu??