Ungetuambia na pesa uliyo nayo mkuu hapa unaweza ambiwa kitu usichoweza afford Kuna desktop kibao zinazoweza kufanya hii kazi inategemeana na mkwanja ulio nao.Aje wakuu Naombeni msaada wa Desktop computer hipi inafaa kwa 3D graphics Design, Gharama yake na mahali pakuipata
Naihitaji kwaajili ya 3D design na Video Editing for personal user
I5 9400 haina hyperthreadingSifahamu saaana lakini kwa kuanzia tu lazima iwe na hizi sifa:
1. Atleast kuanzia i5 9400/9600 na kuendelea
2. Hakikisha ina uwezo wa hyper-threading.
Na mimi nakazia hapa,Ungetuambia na pesa uliyo nayo mkuu hapa unaweza ambiwa kitu usichoweza afford Kuna desktop kibao zinazoweza kufanya hii kazi inategemeana na mkwanja ulio nao.
Ndugu kama unafanya 3D I bet huwezi Sema 3D design,Aje wakuu Naombeni msaada wa Desktop computer hipi inafaa kwa 3D graphics Design, Gharama yake na mahali pakuipata
Naihitaji kwaajili ya 3D design na Video Editing for personal user