Ndani unaweka vitu vya kukufanya usiichoke nyumba yakoHalafu iwe pembezoni mwa bahari! da shitt!
I just want the garden.....the house is too big....for me.
Unabadili kila Xmas......Ndani unaweka vitu vya kukufanya usiichoke nyumba yako
Wewe ndo umeongea, garden ikiwa nzuri kiasi cha kuvutia, hukai ndani ya nyumba...wenzetu nchi zilizoendelea ndani wameweka mazingira ya kuifanya nyumba ivutie na huichoki na nje pia kwenye garden wanaweka design ya kufurahisha macho...kwa uzoefu wangu nyumba nzuri za huku kwetu baadhi zinachosha kwa kweli....nyumba ni nzuri za kisasa lkn muundo wake na mpangilio unachoshaI just want the garden.....the house is too big....for me.
Wengi wanasahau nje. Utakuta nyumba kuuuubwa imekula eneo lote gardeni ndogo,parking gari mbili zinakaa kwa shida. Hamna kitu kizuri kama garden nzuri,imagine jumapili kama leo umekaa garden unasoma magazeti na kahawa yako pembeniWewe ndo umeongea, garden ikiwa nzuri kiasi cha kuvutia, hukai ndani ya nyumba...wenzetu nchi zilizoendelea ndani wameweka mazingira ya kuifanya nyumba ivutie na huichoki na nje pia kwenye garden wanaweka design ya kufurahisha macho...kwa uzoefu wangu nyumba nzuri za huku kwetu baadhi zinachosha kwa kweli....nyumba ni nzuri za kisasa lkn muundo wake na mpangilio unachosha
Afu uwepo na upepo mwanana utulivu wa mazingira utapapenda kwako siku zote usiku na mchana, kupamba garden ni muhimu sana sana!!Wengi wanasahau nje. Utakuta nyumba kuuuubwa imekula eneo lote gardeni ndogo,parking gari mbili zinakaa kwa shida. Hamna kitu kizuri kama garden nzuri,imagine jumapili kama leo umekaa garden unasoma magazeti na kahawa yako pembeni