Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,307
- 3,415
hehehe ulitaka uonekane matawi eeehh kwmab wanaume wanakungangania ukaona soo kumwambia uko peke yako hahaha,uongo wako umekuicost na utazidi kuwacost
say what? Before you get the butt the jim be erect? Bad bad boy.
Way back when I used to have all the verses down pat.
Naomben ushaur wana MMU...kuna kaka nilisoma nae shule moja yeye alikuwa a-level mim nipo o-level..hakuwai kuonesha dalili ya kunipenda kabisa wala hatukuzoeana...sasa nikaja kumeet nae accidentally town baada ya miaka km mitano..akaniomba no yangu nikampa tukawa tunawasiliana kama marafik mara yy akaenda nje kusoma kwaiyo mawasiliano yakakatika..baada ya miaka miwil akarud akanitafuta facebuk akaniomba tena my no nkampa tukaendeleza communication. Sasa ndo akaniambia ananitaka and he asked me if i date someone nkamwambia ndio kuna mtu namdate lakin sio kwel nilimdanganya tu cna mtu ninayemdate kwa sasa..basi kaka wa watu akapunguza communications kabisa sio kama mwanzo..tatizo linakuja kwamba ss hv najisikia kumpenda sana na najuta kumjibu kuwa nina mtu wakat sio kwel...nishaurin nifanyeje ili nimpate maana nampenda kwel sasa..
Haya sasa, kazi ni kwako, mwambie ajiunge JF
I can imagine. What are you listening to 2014? Not Versace still?
Yeah still bumping Versace but lately I been on YG's 'my nigga'
I said that I'ma ride for my mother----ing niggas,
Most likely I'ma die with my finger on the trigger
I've been grinding outside, all day with my niggas
And I ain't going in, unless I'm with my nigga
If you don't love me now, don't love me later..
Kuwa na mtu nisababu ya kupunguza communications...? Hana mpango huyo kaka achana naye. Ungemwambia umeolewa labda angenyuti angeeleweka... Atakuja tu mwenyewe kama akili zake ni za kiutu uzima...