Kwanza hueleweki sijui ni lugha gani unaiweza?! Pili, hivi unadhani Obama ni Mkenya, au ni Rais wa Kenya? Yaani unawaza Obama ataifanyia nini Afrika as if Africa ni koloni la Marekani? Kwani hakuna marais Afrika? Kibaki anafanya nini pale Ikulu kama unataka Obama awaze namna ya kuwasaidia Kenya? BTW: Kuna urafiki gani kati ya Tajiri na Maskini? Unadhani hivyo vidola 100m/= vya Bush aligawa kama sadaka? Kwa utajiri upi alionao? Umesahau Bush alivyokuwa anajikomba Tz akaja kidogo akate wiki nzima Tz? Unadhani alikuja kuchekacheka kama M.k.w.e.r.e anavyoenda kuchekacheka na kupandishwa matoroli ya farasi ughaibuni? Wazungu wako serious, they fool us with $100m/= they take all our minerals, gas, land and other resources. Halafu kuna stupid Africans kama wewe wanashangilia. Shame on you!