I this Love…, Or is This Love…..

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Is This Love…….
Baada ya Bwana kuona mpenzi wake upendo umepungua alighafirika na akashindwa kujizuia akatoa roho yake na ya mke wake… sababu asingeweza kuishi bila ya mpenzi wake

Or is This Love……
Baada ya Bwana kuona kuwa upendo wa mpenzi wake umepungua kwake basi akaamua kuhama mji ili mpenzi wake apate mwingine.., ingawa ilimuuma sana na alijua kwamba hatasahau au kupona kidonda…,bali alikuwa radhi bora mmoja wao apate furaha kuliko wote kuwa na huzuni

What do you Think on above Scenarios ?,
Is There Selfishness? Caring?, Really Love? or neither……
 
No. 2...very considerate!

and loving as well au ?, Is it possible to love someone soo much as to wish her best of happiness in the future au utakuwa unaomba mungu huko yamkute mabaya zaidi ili abadilishe mawazo?
 
Inawezekana ila kwa asilimia ndogo!!!Wengi hua wanatamani uchungu uishe...wapate mwingine...ikitokea siku alieondoka akirudi anakuta mwenzake nae kashapendwa na kupenda kwingine!!!

BTW if you have never watched MARRIED WITH CHILDREN...find it!!!
 
No 2, anaonyesha jinsi anavyompenda na kumjali mwenzie, anapenda mwenzie aishi kwa furaha.
 
Kila mtu ana uwezo tofauti wa ku-manage magumu wanayokutana nayo,nafikiri namba mbili uwezo huo alikuwa nao zaidi,am not sure its love but its a careful and considerate decision.......
 
Inawezekana ila kwa asilimia ndogo!!!Wengi hua wanatamani uchungu uishe...wapate mwingine...ikitokea siku alieondoka akirudi anakuta mwenzake nae kashapendwa na kupenda kwingine!!!

BTW if you have never watched MARRIED WITH CHILDREN...find it!!!
I saw it once by accident long time nadhani episode moja tu... very funny lakini nimeona some video clips from yuotube, i will try sidereel as well, thanks for reminding me....
 
Kila mtu ana uwezo tofauti wa ku-manage magumu wanayokutana nayo,nafikiri namba mbili uwezo huo alikuwa nao zaidi,am not sure its love but its a careful and considerate decision.......

Mi nadhani kama hii we can call it love ni upendo wa level ya juu sana..., yaani kama umependa hadi ukimuona mwenzako anacheka na wewe unafurahi.., ukimuona amefurahi hata wewe unafurahia..., you are ready kulala njaa ili mwenzako apate kula..., kupigwa baridi ili umpe koti mwenzako ili asisikie baridi...., mwenzako akiumia na wewe unaumia..., I know its considerate, also I think ni kumpenda mwenzako kuliko unavyojipenda wewe, which I think its rare but great
 
Namba tu ni real love.
Imewahi kunitokea.
You are one in a Million, Niambie unapatikana wapi :),

Hata mimi nadhani nikipenda mtu sitapenda akose furaha just for my sake, penzi langu lisiwe mzigo kwake, if she can do better elsewhere.., basi taumia mwenyewe.
 
Its possible that kuna kumpenda mwenzio kuliko unavyojipenda mwenyewe....i agree its great and special....:coffee:
 
You are one in a Million, Niambie unapatikana wapi :),

Hata mimi nadhani nikipenda mtu sitapenda akose furaha just for my sake, penzi langu lisiwe mzigo kwake, if she can do better elsewhere.., basi taumia mwenyewe.
wewe VOR unasema tu, kumuacha mtu huku bado unampenda ni maumivu sana.
Kusahau ni ngumu halafu unahisi kama vile dunia hii aliumbwa peke yake hivyo hutopata mwingine.
 
Je unamtakia mema katika maisha yake ya mbeleni afanikiwe au ungependa ajue alichokimiss ili ajute..., wanasema
"Aint no Sunshine, Till Its Gone", na "The Glass Always Looks Greener on The Other Side"
 
kama hadi mtu amefikia hatua ya kuhama mji ili amwache mpenzi aendelee tu na maisha yake ujue hamtakii mabaya vinginevyo angeweza kumfanyia mambo mabaya kabla hajaondoka.

Pia wanasema 'you don't know the value of what you have till you lose it' kwahiyo ikifikia stage hiyo ujue lazima kuna vitu mtamiss kutoka kwa pande zote mbili hata kama ni vitu vidogo vidogo.
 
Back
Top Bottom