Jipe moyo ndugu haya ni mapito tu,lakini kumbuka mtoto wa watu alikuwa anafikiri kuwa wewe ndo utakaekuwa nae mpaka mwisho,angalia nyuma na fikiria namna gani ulimvunjia mipango yako now suddenly you want to depart
nimekuelewa mkuu
and dats wat makes me think over n over .,
but no way I have to go
You go bana.......ni kosa sana kumganda mtu usiempenda.....tell her the truth......then off you go.....simple...a a.....
nilisha wai kupenda kwisho wasiku...kwisho wa siku mwenzangu akajakuwa kama wewe....aliniambia hana hisia na mm tena....iliniuma sana....usijaribu kufanya hivyo vumilia tu
On ma way.
are three years not enough for been thru a lot.?Mliwahi sana na nyie...! kha..! mid 20s mmechokana though you've gone through so much...!!?? Ni somo tu
Mliwahi sana na nyie...! kha..! mid 20s mmechokana though you've gone through so much...!!?? Ni somo tu
Go bby go........for your health.........
are three years not enough for been thru a lot.?
Muda gani unadhani no sahihi .?
Sijawahi elewa hii...mi nmefundishwa upendo wa kweli huwa hauishi.
Eniwei ndo mahusiano ya siku hizi...not based on love ila pesa na mob psychology...pambaff sana hiki kizaz cha Mulugo.
Kwa nini ulichukua muda mrefu hivyo.....? 4 months was enough.......aaghhrrr....
Preta I doubt ka ww ni mzima
KARMA IS A BIT.CH!!!!!!!!!!!!! Mtendwa hutendwa!!!!!!!!!!!!!