I think Tanzania is more corrupt than Kenya

cordoba

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
686
962
To be honest nchi yetu ni very corrupt sana. Tatizo moja tu, Serikali siyo wazi haisemi na pia hakuna free media kama Kenya.

Kiukweli Wakenya wanajitahidi sana kupinga rushwa na ufisadi, sisi Watanzania hatuwezi kufikia Kenya katika free media na kupinga ufisadi.

Mfano toka ianzishwe mahakama ya mafisadi hakuna hata mmoja alikamatwa, while Kenya with no court deal with that offense, wanakatamata mafisadi kama akina Sonko.

Watanzania wengi ni praise team tu hakuna jipya. Finally nawapongeza Wakenya for their freedom of media na free democracy.

Tanzania bado tupo stone age with some socialist remarks lakini tuna resources za kutosha ,na human resource iko vizuri.

Tukiamua tuwe na completely mixed economy our GDP will grow to 150 Billion US$ in three years to come.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitegemea nini kama wanahabari ni wale wale wa kung'oana meno wakipigania noti ambazo wamerushiwa na ma'celeb' ambao wanafahamika tu kule mashinani mkuranga? Tena noti za hela ya madafu tzshs?
 
Nimebahatika kuzunguka hii nchi mikoa kadhaa, ukipita vijijini unakutana na makazi duni kabisa, kumechakaa, watu wamepauka vibaya. Pengine hata network ya simu hakuna, redio haishiki hata moja wakati tuna vituo vya redio zaidi ya 80, kuna sehemu usafiri ni mshike mshike, kuona tu barabara ya lami unalazmika kukodi pikipiki elfu 30, bado usafiri unaotumika ni pijo 504 za miaka ya 70, nimeshuhudia sehemu nyingi tu mikoa tofauti ukiwa na safari ya halmashauri basi uandae na pesa ya gesti maana gari ni moja tu na kurudi ni kesho yake.

Nimetizama taarifa ya habari ya ITV leo kuna watoto wanne wa familia moja wamekufa njaa huko Serengeti, Nafikiri Serikali inaangalia maisha ya Mtanzania kwa kuzingatia watu wa Dar pekee ukweli mikoani umasikini ni mkubwa mno.
Utajiri wa Tanzania uko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
duh!
pole bro.
mukiwa na bidii na ukakamavu, mutafikia pahali Kenya iko.
hata Kenya pia haikujengwa kwa siku moja.
 
Ndo maana umesema "I THINK" kwenye heading. Hii inatuonesha how your pumpkin (the one you call head) is rotten
To be honest nchi yetu ni very corrupt sana. Tatizo moja tu, Serikali siyo wazi haisemi na pia hakuna free media kama Kenya.

Kiukweli Wakenya wanajitahidi sana kupinga rushwa na ufisadi, sisi Watanzania hatuwezi kufikia Kenya katika free media na kupinga ufisadi.

Mfano toka ianzishwe mahakama ya mafisadi hakuna hata mmoja alikamatwa, while Kenya with no court deal with that offense, wanakatamata mafisadi kama akina Sonko.

Watanzania wengi ni praise team tu hakuna jipya. Finally nawapongeza Wakenya for their freedom of media na free democracy.

Tanzania bado tupo stone age with some socialist remarks lakini tuna resources za kutosha ,na human resource iko vizuri.

Tukiamua tuwe na completely mixed economy our GDP will grow to 150 Billion US$ in three years to come.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanzania asiependa ukweli kumhusu., stop your blind patriotism and start facing the reality on the ground, afadhali Kenya media inaonyesha mapungufu yote, imefanya watanzania wengi wanafikiri ya kwamba wako vizuri kuliko Kenya, my friend mko ovyo saaana!., ni ile your media imewaficha mengi.
Lakini pia wewe ukitembea mashinani na vitongoji vya Dar watu wengi mno Tanzania wanaishi maisha duni ya kubahatisha tu..,
Ndo maana umesema "I THINK" kwenye heading. Hii inatuonesha how your pumpkin (the one you call head) is rotten

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom