I think Tanzania is more corrupt than Kenya

Unaongea nini sasa.
Kenya imepiga hatua katika maendeleo.... ingia vitongojini, watu wanatanua na kupeta tofauti na Tanzania kama alivosema mlalamishi. hatupo miaka ya sabini ambapo unakuta gari la kuenda mjini ni moja na likikuacha basi utaaihirsha safari yako hadi siku ya pili.
Bro, hii ni aibu kubwa ya karne kuwahi kutokea katika ulimwengu wa sasa >>>
ukipita vijijini unakutana na makazi duni kabisa, kumechakaa, watu wamepauka vibaya.

>>>
kuna sehemu usafiri ni mshike mshike, kuona tu barabara ya lami unalazmika kukodi pikipiki elfu 30, bado usafiri unaotumika ni pijo 504 za miaka ya 70, nimeshuhudia sehemu nyingi tu mikoa tofauti ukiwa na safari ya halmashauri basi uandae na pesa ya gesti maana gari ni moja tu na kurudi ni kesho
 
Enyewe Tanzania ni nchi kubwa sana (size), na kwa kiwngo cha uchumi wao $62B, hauwezi tosheleza maendeleo kote kote, kama Kenya bado tunang'ang'ana, but we have tried, with county gov't, village life imepungua sana, watu mashinani wako na hela, in a few years they will be richer than city dwellers., small towns now are the in thing! Maisha iko freshi!
Kenya imepiga hatua katika maendeleo.... ingia vitongojini, watu wanatanua na kupeta tofauti na Tanzania kama alivosema mlalamishi. hatupo miaka ya sabini ambapo unakuta gari la kuenda mjini ni moja na likikuacha basi utaaihirsha safari yako hadi siku ya pili.
Bro, hii ni aibu kubwa ya karne kuwahi kutokea katika ulimwengu wa sasa >>>


>>>

Sent using Jamii Forums mobile app
 
December 12, 2019
Nairobi, Kenya

Uhuru Kenyatta : Stop having a go at me !

During Jamhuri Day celebrations H.E President Uhuru Muigai Kenyatta blasted the people who are serving as public servants and yet appear in court to defend powerful people who are accussed of grand corruption.

H.E President Uhuru Kenyatta saw this unprecedented trend of public servant who are lawyers and holding political post as a move to publicly frustrate his war against grand corruption.

Locals and East Africans can say that Kenyans are testing the limits of their constitutional rights but against on a close look you can say for sure that is not the case.

These learned brothers and sisters are just abusing their privileges and today H.E President came out with guns blazing to remind them that they have stop toying with the constitution.

 
Back
Top Bottom