I think she is cheating!

Hapo kaka kuwa makini kuna kitu kinaendelea, anashindwa tu kikwambia lkn..... Prognosis si nzuri
 

Mkuu ifike wakati tuache kushauriana sijui nini na nini..nakubali ningekuwa kwenye nafasi yako bado ningekuwa na viulizo..coz sometimes it is hard to accept the unwanted truth and to let go...but because I am watching the players I am in a better position to see and say...hapo mwana usijiulize mara mbili..fact ni kuwa kweli anacheat..the best you can do ni kama upo tayari kuendelea naye for the sake of an impossible chance kwamba labda atachange au unapiga chini...finito!
 
asije akawa ndo huyu nilienae sasa kwan anapgiwaga sana sim.
nkmwambia apokee anase ni mfanyakaz mwenzie tumpotezee tuu
 

Uje kutupa mrejesho(part 2),..mkuu.
 

Tena wacwac mwabulamb.....ooo...
 
Please don't practice distance love at home..
 
i realy dnt know y midume bado mnaujinga huu walong distance...it never works..if they say it is basi jua kuwa one or both are cheating

Kama kuna kibanda cha mangi karibu chukua cokacola kipotable nakuja lipia...long distance relationship imekufa long time hata iweje lazima mmoja wenu awe na kiosha rungu au kisafisha kinu
 
asije akawa ndo huyu nilienae sasa kwan anapgiwaga sana sim.
nkmwambia apokee anase ni mfanyakaz mwenzie tumpotezee tuu

hahahahaaaaaaa utakatwa ugoni sasa shauri lako unaliwa kisogoni nawewe hujui tuu
 
mapenzi hata hayaeleweki, mtu unaweza ishi nae mtaa mmoja na bado akwa na tabia za hivyo, hapokei simu hajibu message mi nahisi kupata unaetaka afanye vile unavyotaka ni bahati yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…