Hiki ndiyo kitakachopelekea ujauzito.Thanks siwezi gombana nae. Nitapiga cha mwisho then nachoka soon natafuta mwingi wakukaba pengo wakatinaendelea kutafuta wakuweka ndani.
Yaani ni bora uende ukajue ukweli kuliko kujitesa kwa kuhisi tu.Kujitesa kwa kuhisi kuna maumivu ya muda mrefu, bora ufumanie ufanye maamuzi hapohapohahahah aet rejea kwenye folen zetu..kweli lakini..ila kutaka kufumania ni kujitafutia magonjwa mengine ya ziada bila sababu
take it positive tu.. otherwise utapata magonjwa ya moyo..mwenzako wekend labda uwe anawahi kulala anasahau kukuaga....au sababu zingine tu...sio lazima anakucheat ndo iwe sababu ya kutopokea simu,,wadada wanaocheat ni wapokeaji wa simu wazur tu za mabeby zao, yaani hata huwez ukafikiria.. labda asiwe binti was mjini..so brother take it positive na amani ya bwana yesu itawale moyon mwako..
ashapeleka mwingine
Another relationship saga! YAWNS!!!!!!!!!!:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
usisahau kutupa mrejesho(feedback) hapa.From next week jtatu nitajua nn nifanye. Finger closed!
usisahau kutupa mrejesho(feedback) hapa.
hahahah aet rejea kwenye folen zetu..kweli lakini..ila kutaka kufumania ni kujitafutia magonjwa mengine ya ziada bila sababu
Wewe Mwamini tu. Kama vipi jiondoe maana utazidi kuumia zaidi.Habari wana JF.
Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.
Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.
Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.
Angalia hii....utaenda kesho. Kumbe huyo jamaa yake coincidentally amesafiri ama ana ugeni kwake. Usipomkuta utasimangwa wewena kulazimishwa kumuamini maisha yako yote. Lakini kwa sababu ushapoteza imani, mtaoana na siku umesafiri wewe na simu hazipokelewi utaugua maradhi ya moyo.
Maneno hayabadilisha tabia,fanya vitendo. Hata kama anakucheat lazma awe na adabu na awaambie mabasha wake kuna mwenye mali (nilisoma mahali UNATAKA UMLE PEKE YAKO, KWANI SUMU HIYO?)
Pole sana mkuu,Ondoa shaka. Nitakuja kuwaongezea mtazamo juu ya wanawake if that wil be -ve.Naweka mambo sawa hapa kwaofc ilinichomoke keshojion. Tiket ipo mkonon lol!
Habari wana JF.
Ninamchumba wangu anafanya kazi mkoani na nipo daslam. Nampenda sana na tumekuwa kwenye mahusiano miezi kadhaa. Amekuwa na tatizo kubwa la kutopokea simu yangu hasa wakati wa weekend usiku na mbaya zaidi kama ni jpili atanipigia akishafika ofcn. Nimejaribu kumuonya several time but she is still doing the same.
Kadiri siku zinavyo zidi kusogea naona long distance relationship itanishinda. Naomba ushauri what can i do with her.
Nawasilisha.
Tatizo la mwanadamu ni kwamba hajui nafsi zinawasiliana na kuona kila kitu bila mipaka ya umbali hapo jamaa alipo keshaona ushenzi wote demu wake anaofanya na jamaa mwingine lakini inamjia in terms of hunches kutokana na umbali uliojengwa na maovu yake kati ya nasi na mwili; nafsi inajitahidi kupitisha hizo taarifa kuja kwenye ufahamu wa nje lakini hazifiki kutokana na bonde hilo. Hunches zinatosha kuamua ili mradi zinadumu kukujia.Ningekuwa wewe wala nisingejihangaisha na kwenda kumuwinda. Ningefuata mtima wangu. Piga siu wknd hapokei, na mie jumatatu akinipigia ndo imetoka hiyo. Sipokei na sina aelezo marefu. Akianza kukusaka na kuja muambie nilikuwa serious kuhusu kutopokea simu.