Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nimemsamehe mkuu but no more future. Sasa nitamtumia kama kifaaa😀
kumtumia utakuwa unazidi kuharibikiwa bora kuamua moja
Nimemsamehe mkuu but no more future. Sasa nitamtumia kama kifaaa😀
Mi nafikiri mademu wengi hucheat, sema tu they are smart we can't catch them. Utaacha wangapi? Ninachojua mtu akikufanyia kosa kubwa hivyo ukagundua na yeye akajua umejua huwa si rahisi kurudia. Atajiheshimu sana. Endelea na mahusiano naye huku ukimchunguza. Akirudia mpige chini. Isitoshe huyo anajilinda, wengine wanatoaga kavukavu.