Eistein
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,107
- 482
asante sana mkuu. Naamin mungu ni mwema siku zote. Nilikuwa na mwamini sana kwa kigezo cha ulokole. Lol kumbe yaliyomo sio kabisa.
songa mbele kijana... Songa mbele achana na risk ya wazi namna hiyo huyo si muaminifu... Na hawezi acha atarudi tena
siku zote maji yaliyotulia ndio huzamisha watu, unadhani ulokole wake ndio nini?? Tena hao wanaojifanya wameshika dini sijui makanisani swala tano... Ndio hovyo kabisa-nakueleza hivi kwa experience ya nguvu sana.. Songa mbele achana naye kabisa, anza from zero....