I think she is cheating -2

I think she is cheating -2

no comment!

maamuzi yako mikononi mwako rafiki.
 
Ahahahahah!Sasa ulienda kufanya nini we b.w.e.g.e?Demu hakupendi.P.a.m.b.a.v
 
Kumbe ni kichwa kinamuuma
Kishalewa, anajipooza maji

Na mimi hata muda sina
Nishamkanya
Naskiza ma melody

Nishamwambia nini wewe
Kupenda sana utakuwa chizi
Hayanaga ujuzi yale

Kila mtu analilia mapenzi
Karibu chama la bachelor
Ukinipenda t'namaliza leo leo tu

Siku hizi kwa kudanganyana
Mvulana msichana
Ishakuwa pouwa pouwa tu

Hakunaga mapenzi yale
Ya kugandana ni zama za kale
Money on the table nawe...
Kinachofuata ni mimi na wewe!
 
Kaka hujamuoa unamkuta ktk hali hiyo na unataka kumsamehe?Unadhani ataacha hiyo tabia au atatafuta njia mbadala ya kuficha maovu yake?Kuwa makini magonjwa mengi siku hizi.
 
Hakuna dhambi mbaya kama uwoga,....mwanaume unakuta kosa kubwa kama hilo unaendelea kuomba advice! Mbona watoto wengi wapo wastaraab, achana na vicheche wa chuo.
 
.....mnh, 'maganda ya condom' yaliyotumika? ....she's not serious unless ni collector au, unamsingizia.

inawezekana ameona condoms na sio maganda ya condoms. haiingii akilini mtu aweke maganda ya condom kwenye pochi. Labda demu aweke makusudi jamaa aone ili amuache, ukute demu hamtaki anashindwa kumwambia.
 
Kumbe ni kichwa kinamuuma
Kishalewa, anajipooza maji

Na mimi hata muda sina
Nishamkanya
Naskiza ma melody

Nishamwambia nini wewe
Kupenda sana utakuwa chizi
Hayanaga ujuzi yale

Kila mtu analilia mapenzi
Karibu chama la bachelor
Ukinipenda t'namaliza leo leo tu

Siku hizi kwa kudanganyana
Mvulana msichana
Ishakuwa pouwa pouwa tu

Hakunaga mapenzi yale
Ya kugandana ni zama za kale
Money on the table nawe...
Kinachofuata ni mimi na wewe!
nimemkuta analia kajilaza sababu amechoka
mengi amevumilia yalomkwaza anataka kuondoka
ana siku ya pili leo hajarudi nyumbani kulala
namwonea huruma sana haya mapenzi hayana maana
Karibu chama la bachelor
Ukinipenda t'namaliza leo leo tu

Siku hizi kwa kudanganyana
Mvulana msichana
Ishakuwa pouwa pouwa tu

Hakunaga mapenzi yale
Ya kugandana ni zama za kale
Money on the table nawe...
Kinachofuata ni mimi na wewe!
 
mimi story nyingine huku mmu sijui kwanini inaniwia vigumu sana kuamini moja kwa moja!anyway!pole
Huziamini kwa sababu wewe mwenyewe huwekagi mambo yako huku kama yalivyokutokea....!
 
The ball is in your basket, ila mchuchu wako kiboko anatembea na maganda ya Condom????????????
 
Habari wana JF.
Kama nilivyo waahidi last time kuwaleeteeni mrejesho baada ya kwenda kumtembelea mchuchu wangu bila taarifa baada ya kuhic kunakitu kinaendelea. Namshukuru Mungu nilifika salama majira ya saa tatu usiku. Kabla ya kuondoka nilikuwa nikiwasiliana nae na aliniambia yupo home. Nilipo wasili nilifanya mpango watumbo kwanza then nikatimba maguu kwake na ndipo nilikuta hewa! Nilimpigia simu na kumwomba anigungulie mlango. Hakuamini alijua namtania. Baada yakujua nikweli aliniambia ukweli kwamba yupo kwa rafiki yake wa kike ambae namjua. Ni distance walking distance kutoka anapoishi.

Nilimwuliza kwann alinidanganya akanipa sababu mbalimbali zisizo na msingi na nilipotezea. Siku zote njia ya mwongo ni fupi, the next morning wakati akijiandaa kuelekea kazini nilitaka kumsaidia kuweka vitu kwenye pochi yake nikaona binti amekuwa mkali na hataki nishike pochi yake .......lol kumbe kilikuwa na maganda ya comdom yaliyotumika. Kiukweli alinidisapoint kwakiasi kikubwa sana. Nilitamani niondoke asubuhi ile ile but nilishindwa nilishakata return ticket nahaibadilishwi....still nilitaka kujua what happened.........mwisho ya yote aliadmite kwamba alinicheat na anaomba msamaha..... Kiukweli nampenda sana but sina imani nae tena na ninamshukuru Mungu kwa kunionyesha nipo na mwanamke wa aina gani! Na amini mawazo yenu yanaweza kuwa msaada mkubwa sana kutoka kwa wana jf. Je niachane na huyu binti au nimsamehe? Nawasilisha.

kama mchuchu anakudanganya hadi unamfuma, mke atakufanya nini?? si utamkuta anakatikia halafu atakuomba umshikie na chupi kabisa
 
wala usimuache ukiliwa na wewe tafuta mnyonge wako ummegee.kuzuri huliwa na nduguzo
 
Aisee pole sana kaka angu. Usijali hayo ni mapito na pia ni sehemu ya maisha. Kwa mimi nakushauri uachane nae uendelee na maisha yako cz hapo mwenyez Mungu amekuonesha kuwa huyo sio mwanamke wa maisha yako cz kama kipochi manyoya kilikua kinamuwasha angefungasha kwato zake akufwate wewe umpunguze ugumu au wewe umfwate cz uwezo wa kuonana ulikuwepo cz wote mko ndan ya nchi labda kama ingekua mbali. kaza moyo kaka i hope there is a beautiful young lady waiting for you out there ok????
 
Asante sana mkuu. Naamini Mungu ni mwema siku zote. Nilikuwa nikimwamini sans huyu binti kwa kigezo cha ulokole kumbe lol.....
 
Aisee pole sana kaka angu. Usijali hayo ni mapito na pia ni sehemu ya maisha. Kwa mimi nakushauri uachane nae uendelee na maisha yako cz hapo mwenyez Mungu amekuonesha kuwa huyo sio mwanamke wa maisha yako cz kama kipochi manyoya kilikua kinamuwasha angefungasha kwato zake akufwate wewe umpunguze ugumu au wewe umfwate cz uwezo wa kuonana ulikuwepo cz wote mko ndan ya nchi labda kama ingekua mbali. kaza moyo kaka i hope there is a beautiful young lady waiting for you out there ok????

Asante sana mkuu. Naamin Mungu ni mwema siku zote. Nilikuwa na mwamini sana kwa kigezo cha ulokole. Lol kumbe yaliyomo sio kabisa.
 
Back
Top Bottom