" I THINK" KATIKA HUKUMU

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,381
73,976
Kuna judgement (JAJI?) nyingi zina neno "I THINK", this is this and not that without giving reason. Ni maoni yangu kuwa thinking yake lazima iwe guided na law, agreed judicial principles, and common sense; Ni sawa na discretion of the court ambayo lazima iwe guided by established judicial principles and common sense and not arbitrariness! Likewise " I THINK" must be exercised with a judicial mind guided by the established principles and common sense.
Ukisoma judgment zake nyingi they do not even site a single authority to base his "I THINK". Nimezisoma nyingi zake ziko hivyo. Je hii ni sahihi?
Sina nia mbaya nahofia haki kutotendeka (bila kudhamilia) labda kwa uzembe wa kufanya research on the law applicable on the matter in the controversy!
 
Tuanze kwanza na maoni yako. Je unaona sahihi kutumia hilo neno "I THINK"?

Unafikiri matumizi ya neno "I THINK" katika hukumu linawewaza pelekea haki isitendeke?

Naomba nione hizo hukumu ambazo Zina hilo neno I THINK
 
Kutumia neno I THINK katika hukumu linakuja kwa sababu mbili. Moja ni drafting techniques. Majaji wetu na mahakimu (baadhi) wamekuwa dhaifu sana katika kuandika hukumu. Unakuta hukumu haina mpangilio mzuri na hata fact hazieleweki. Wangine (kuna majaji sitataja majina yao hapa) wanaandikiwa hukumu na mbaya zaidi wanaowaandikia wanakopi format ya hukumu au ruling za majaji wengine, kinachofanyika ni kubadilisha majina ya parties na baadhi ya facts tu. Katika drafting techniques hizi unakuta jaji anatumia maneno ambayo hayafai katika uandishi wa hukumu ama ruling.

Mbili ni sababu ya kutojitambua kitaaluma. Jaji au hakimu anayo mandate, kwa hiyo anatakiwa atoe maamuzi yake kama mtu mwenye mamlaka. Neno I THINK halina mamlaka yeyote kisheria na hata kimantiki. kama mleta mada alivyosema, thinking yake lazima iwe guided na law, agreed judicial principles, and common sense.

Judicial thinking
ni dhamira ya waandaaji hawa wa maamuzi. hata hivyo thinking hii, ambayo kimsingi ndio reasoning ya mahakama, haipaswi kuwekwa kwa mamna ya I THINK. Uandikaji wa hukumu nacho ni kipaji. hukumu zingine zinatoa maamuzi mazuri lakini hazina msaada wowote kwa wanaozisoma, hasa wanafunzi. Unakuta hata hazitoi msingi wowote wa kukumbukwa.
 
Back
Top Bottom