I think i'm in love ila sijui nifanyeje?

Dada yangu labda mara ya kwanza nilikosea ndio maana wakaitoa, kama nimekosea naomba mniwie radhi

Hujatukwaza

Hebu kwanza tuambie hasa kilichokufanya ujiskie unampenda ni nini? Au kama kuna sentensi yake moja hivi unayoikumbuka tuambie :]

Hii nayo mida yake inahesebika!!

Sasa huyo TF naye yuko wapi??? Hajui kwamba bahati haiji mara mbili??

MJ1, LD, Asprin, RR, St....Please niletee huyo mjuu aje akaone jinsi alivyobarikiwa na kutunukiwa leo, tena mchana kweupeee!!!

Hilo nalo neno babu DC

wote waliochangia humu
umeni pick mimi wa kunitukana na kuniita
nina kimbelembele sio?????????

Watch urself and watch ur mouth....
Usidanganyike kuwa uko mbali
some of us are capable of anything....
Hata ikibidi nitumie milioni kumi kukumata
na kukuonyesha exactly mimi ni nani...
Carefull

Mkuu huu ni uhuru wa maoni.
Tazama pia jinsi ulivyokoment kwangu, mbona mi sijachukia.
Sasa mambo ya kutishiana yanakujaje tena.
Well, am out. Siwezi endeleza malumbano.

Hujatukwaza

Hebu kwanza tuambie hasa kilichokufanya ujiskie unampenda ni nini? Au kama kuna sentensi yake moja hivi unayoikumbuka tuambie :]

Nimekuwa nikisoma post zake mara kwa mara kipindi bado nikiwa guest kwa kweli post zake zinanivutia sana anaonekana yuko so charming pia na michango yake kwenye majukwaa mengi

Nimekuwa nikisoma post zake mara kwa mara kipindi bado nikiwa guest kwa kweli post zake zinanivutia sana anaonekana yuko so charming pia na michango yake kwenye majukwaa mengi

Ahsante

Vijana wa kiume mnasikia maneno hayo? Kuwa charming muhimu hata kwenye maandishi JF

Mkuu huu ni uhuru wa maoni.

Tazama pia jinsi ulivyokoment kwangu, mbona mi sijachukia.

Sasa mambo ya kutishiana yanakujaje tena.

Well, am out. Siwezi endeleza malumbano.

Mkeshaji na The Boss sio vizuri kulumbana kaka zangu

Nimekuwa nikisoma post zake mara kwa mara kipindi bado nikiwa guest kwa kweli post zake zinanivutia sana anaonekana yuko so charming pia na michango yake kwenye majukwaa mengi

Jux sijui ni kwa nini kila nikisoma unavoandika, nasikia sauti kama ya mdogo wake TF? dah...

Nimewahi sikia watu wanapigiwa simu kuambiwa wameshinda zawadi
lakini hawapokei hizo simu.....

The finest ...where are you......?????????????

Mkeshaji na The Boss sio vizuri kulumbana kaka zangu

Kuna watu wanadhani wanamiliki hii forum kiasi kwamba mtu mwingine ukichangia ishakuwa tabu.
Well, am leaving this forum to the "owners".

Similar Discussions

Back
Top Bottom