"I think I need you"

Unampa elfu 50 huna ndugu wenye uhitaji? Hii pesa kwann usingewapa hata wadogo zako wakafurahi walau siku moja?
 
Fatma kuna mtu anampenda ila kwa kuwa wewe umeonyesha kumpenda hataki kupoteza hiyo nafasi ya kukosa mwana na maji ya moto.
Ndio.....ananijua na ninamjua vizuri ila hana maamuzi anashake
 
Unampa elfu 50 huna ndugu wenye uhitaji? Hii pesa kwann usingewapa hata wadogo zako wakafurahi walau siku moja?
Nimekwambia ndugu zangu siwapi?
Unataka nikwambie kuwa namlipia mtu ada anafanya mtihani from kesho ndo ujue kuwa nabalance maisha?
 
Mie mkavu nakwambia tu bwana tufanye mengine kuna mtu nampenda siwezi kuwa na wewe. Fatma tatizo anaruka ruka.
Usikute Meraki anasubiria kama ule msemo wa kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake
Unajua nini? Kuna mtu nilimuhisi yuko naye ila akamkana kuwa ni just a friend....nilichofanya mimi ni kumuacha aamue whether she's single or ana mtu. Sitaki nataka za nini?
 
Bado anapenda kule.
Unajua nini? Kuna mtu nilimuhisi yuko naye ila akamkana kuwa ni just a friend....nilichofanya mimi ni kumuacha aamue whether she's single or ana mtu. Sitaki nataka za nini?
 
Reply her by saying that GO N FUC YO SELF
 
Umri wako mkuu? Kabla sijaendelea
Umri hauna maana yoyote katika hizi mambo. Umri ungekuwa ni mali tusingeona ngono zembe, rushwa, mtu kuacha familia na kwenda kuhonga mshahara wote, ufisadi n.k maana yote yanafanywa na watu wazima.

Sent using my Nokia Torch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…