Aragorn son of Arathorn
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 789
- 832
Issue sio kubembeleza. Anajua sana anachokifanya. Nimebembeleza sana.....tena sana. Nikamchukua mpaka beach tukapunge upepo.....nikamwaga madini kule. Jioni yake nikampa dinner kali mno aliyotaka nimchagulie mimi na alikula vizuri na kushiba. Nikamdrop kwao....siku hiyo sikuwa njema sana mfukoni nikampa 50k Tsh nikamkiss kwenye paji naye akanikiss shavuni. Halafu drama bado zinaendelea....nikahisi ana mapepohujui kubembeleza wewe.
Kumbe wote watoto ndio maana basiIts not about the age. she's 23 and I am 28. Ninaye tangu 2016 ni basi tu imefika mahali haeleweki anataka nini
PoleIssue sio kubembeleza. Anajua sana anachokifanya. Nimebembeleza sana.....tena sana. Nikamchukua mpaka beach tukapunge upepo.....nikamwaga madini kule. Jioni yake nikampa dinner kali mno aliyotaka nimchagulie mimi na alikula vizuri na kushiba. Nikamdrop kwao....siku hiyo sikuwa njema sana mfukoni nikampa 50k Tsh nikamkiss kwenye paji naye akanikiss shavuni. Halafu drama bado zinaendelea....nikahisi ana mapepo
Issue sio kubembeleza. Anajua sana anachokifanya. Nimebembeleza sana.....tena sana. Nikamchukua mpaka beach tukapunge upepo.....nikamwaga madini kule. Jioni yake nikampa dinner kali mno aliyotaka nimchagulie mimi na alikula vizuri na kushiba. Nikamdrop kwao....siku hiyo sikuwa njema sana mfukoni nikampa 50k Tsh nikamkiss kwenye paji naye akanikiss shavuni. Halafu drama bado zinaendelea....nikahisi ana mapepo