Aiseh!pole sanaMimi nilimuuliza hivyo mmoja wiki hii hii nikajibiwa "You Dont Deserve Me" nikajikalia kimya
Shukrani, ila ninamhurumia sana yule mdada, na hilo ndilo litakuwa jibu langu kwake in everythingAiseh!pole sana
mkuu ulitaka abembeleze nini na kiaje kwa hapohujui kubembeleza wewe.