Naomba niwe mwekahazina...
Enhee kiasi gani unaweza?
Namumunya nini tena kakondoo wakati nimeshamnong'oneza?
Kipipi I know you are there. What are U waiting to add?
Sasa mbona unasema.....I think I LOVE YOU??? How can you prove that its YOU & HIM against the world especially at this time umeamua kuanzisha huu uzi?? Au unafanya maigizo!
Sasa kakondoo si sijajua kwa uhakika?
Au nidanganye nampenda alafu kesho niamke simpendi?
We kakondooo!!!
Mi naenda zangu kulala
I think I love you too; thanks!
🙂
Hahahaha. . .
Bahati nzuri nimeshachunguza mpaka anavyolala usiku, ANAPATIKANA.
Hapa tu bana kwasababu naona tunapishana sana. . .