Hahahaha. . . hategwi mtu bana.
Hahahaha. . . hategwi mtu bana.
Sasa mbona Gaijin anasema kuna mtu anategwa? Unamtega nani Lizzy?
Halafu wewe! Ipo siku yako......
Hahahaha. . .
Bahati nzuri nimeshachunguza mpaka anavyolala usiku, ANAPATIKANA.
Sauti Gaijin...sauti hiyo :lol::lol::lol:
Halafu uache uchochezi.....
Uchochezi kwenye nini?
Halafu sauti nilishakwambia ameikatia bima kwa hiyo tafadhali sana......
Bima ya shi'ngapi vile?
Hmmm hhmm mmhh!!
This is nice Lizzy, thanks
Lucky we are!
Jipeni moyo tu. Akuzuzuwe vizuuuri, kisha siku ya siku unachezea tindi kali kaa kawaida
Dola maelfu kadhaa :lol: