Konnie embu acha hizo. . .
Kina nani tena hao Gaijin?
Wamehakikisha mazingira ni salama. Alafu mimi ni tindikali-proof!!
Ni hivyo eee!
Ila Waswahili walisema mtegemea cha ndugu hufa maskini .....
We nawe sijui umetumwa?!?!!!!
Nipo kazini ......:lol:
Si unajua Chocolatey kafulia :tongue:
Heeheeeheeee! Mkuu, umenifurahisha ulivyokuwa sharp....kama vile ulikuwa unachungulia wakati anaandika...!!I think I love you too; thanks!
🙂
Teh teh teh
Ngoja niiweke ile audio sound bite yako kila mtu aisikie sauti yako
Basi bwana nimetubu :A S embarassed:
Mkwe usijali nakufuata huko huko ulipo. . .we niandalie kata moja tu ya ile kitu ya kudumisha mila.
Kuanzia sasa ni mwendo wa blackmail tu. Ukijifanya mjanja tu naiweka hapa :lol::lol:
Kile kifungu cha sheria ulichokiweka kwani si kitahusika au ni kwa watu maalum tu?
Kile kinahusu terroristic threats tu!