I think i am in love!

I think i am in love!

Acha uoga ni bora kufa ukiwa unajaribu kuliko kufa kizembe mweleze hisia zako before its too late
 
Jombaa hamna namna itabidi uwe mlokole. Ujitose kabisa hadi uanze kuongea zile lugha za kiroho kanisani. Waambie vijana kanisani kwamba Mungu amekuamuru mkafunge na kuomba mlimani wiki nzima. Ila wewe uwe umefika huko kwanza na ukaficha chakula cha kutosha. Ikifika siku ya tatu na bado upo strong watakutambua sana. Hapo sasa chochote utakachokuwa ukisema kitakuwa kimetoka moja kwa moja kutoka kwa Mungu. Mimi ilinibidi nifanye hivyo. All the best.
 
(12).jpg
unaotaa,haya endelea kuota za mitandaon tu
 
Back
Top Bottom