I think i am in love!

I think i am in love!

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
356
Reaction score
377
Nampenda huyu mwanamke na ninasita kumwambia kutokana na mazingira..

By the way nmekutana nae kwenye mitandao tukabadilishana namba na pia tumeshaonana kama mara mbili..

She is very cute, black color, hawek nywele dawa, ana shepu nzur .. kiuno na ma tako mhh ingawa ni mwembamba wa wastan but figure yake is hot.

Tatizo ni mlokole na yupo kwenye complicated relationship na mtu wake..
Nikipojaribu kuuliza nn shida akaniambia kuwa huyo mtu wake hawez kujizuia weaknesses zake.. na pia anaangalia sana small mistake ikafikia hatua akadiriki kumwambia she is not his match..

Sasa nikamuuliza kwan kwa mwanaume hapend vitu gan.. cha ajabu vyote asivyopenda mm ndo ninavyofanya almost kila siku..

Na kiukweli tangu siku ya kwanza kumuona nikahis kumpenda kiukweli..

Tuna chat vizur ingawa kuna wakati navunja mipaka na kuanza kuongelea mahusiano kwa njia ya story ili nijue ata react vip..

Lakini nikiaanza story hizo tu anazuga anataka kulala au yupo busy atanichek baadae..
Sasa nawaza nifanye nn!?
Na yeye ananichukulia kama rafiki na she trust me alot..

I really dont know what to do.. kwasabab naweza kuanzisha story za kumtaka then nikamkosa kabisa hata urafik nahis unaweza kuvunjika..

Na kesho ameniambia niende kanisani kwao atafurahi sana.. kaniambia nikienda sitajutia coz kwa mahubiri ya huko nitatamani kwenda kila siku..

Dah na mimi imani yangu ya kawaida yani mkatolik wa kawaida kanisani kwa kubeep sana. Sasa sijui hapo nifanyaje!?
FB_IMG_1524112549379.jpg
 
Dahh badili mbinu na usivunjike moyo bora kufa vitani kuliko kurudi nyuma pambana na moyo wako atakuelewa tu
 
Nampenda huyu mwanamke na ninasita kumwambia kutokana na mazingira..

By the way nmekutana nae kwenye mitandao tukabadilishana namba na pia tumeshaonana kama mara mbili..

She is very cute, black color, hawek nywele dawa, ana shepu nzur .. kiuno na ma tako mhh ingawa ni mwembamba wa wastan but figure yake is hot.

Tatizo ni mlokole na yupo kwenye complicated relationship na mtu wake..
Nikipojaribu kuuliza nn shida akaniambia kuwa huyo mtu wake hawez kujizuia weaknesses zake.. na pia anaangalia sana small mistake ikafikia hatua akadiriki kumwambia she is not his match..

Sasa nikamuuliza kwan kwa mwanaume hapend vitu gan.. cha ajabu vyote asivyopenda mm ndo ninavyofanya almost kila siku..

Na kiukweli tangu siku ya kwanza kumuona nikahis kumpenda kiukweli..

Tuna chat vizur ingawa kuna wakati navunja mipaka na kuanza kuongelea mahusiano kwa njia ya story ili nijue ata react vip..

Lakini nikiaanza story hizo tu anazuga anataka kulala au yupo busy atanichek baadae..
Sasa nawaza nifanye nn!?
Na yeye ananichukulia kama rafiki na she trust me alot..

I really dont know what to do.. kwasabab naweza kuanzisha story za kumtaka then nikamkosa kabisa hata urafik nahis unaweza kuvunjika..

Na kesho ameniambia niende kanisani kwao atafurahi sana.. kaniambia nikienda sitajutia coz kwa mahubiri ya huko nitatamani kwenda kila siku..

Dah na mimi imani yangu ya kawaida yani mkatolik wa kawaida kanisani kwa kubeep sana. Sasa sijui hapo nifanyaje!?View attachment 759293
Aisee atakua mzigua90 huyu. Mzigua ukuje huku
 
Kuwa na maamuzi magumu tu, yeye tayari anajua kuwa unampenda anasubili ulopoke tu, sasa endelea kusubili awahiwe na mwingine ulalamike.

Usitake kuzunguka sana mchane ukweli
 
Back
Top Bottom